Usiombe udaiwe Naijeria

60952_1617065715085_1489635356_31606654_3343618_n.jpg
 
sio magomeni, ila kweli kuna nchi watu wanatumia fisi ku-terrorizr watu na kuwaiba pesa. ila faham fisi hawezi attack mtu kama hawapo wengi.
 
Hapo ni sehemu flani kule Nigeria. Sio Magomeni aisee. Kufuga fisi kwa dizaini hii ni noma!
 
Fisi au Hyaena. Huyu anafahamika katika Kiingereza kama Spotted Hyaena; Family Hyaenidae; Species: Crocuta crocuta Fisi hawa ufugwa katika nchi nyingi za Kiafrika Hususan Nigeria. Kwa Tanzania inayumkinika kufugwa maeneo ya Kanda ya Ziwa
hasa Usukumani????????????????



nigerians2.jpg

Nahitaji kadhaa hapa Kariakoo. Kuna watu nataka niwape habari yao,
 
Lol! Hii kali. Kutumia Fisi kumdai mtu?
....Nitamtafuta huyo mzee kuna jamaa namdai chapaa yangu aise mwezi 5 sasa kila nikimfata ananipa mistari tu na ninamuona town kati anakula bata tu...Ngoja!!
 
Uku mtaani kwetu ukidaiwa na utaki kulipa kinachofata ni makofi kama mnyonge
na kama mbavu nene bin mtemi ni kukufata na kundi zima la kurekebisha sheria au kwa pilato
 
Back
Top Bottom