Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
hiyo ni toyo aka bodaboda kule kwetu idodomya.
mimi ni mtu wa aina ya mzizi mkavu hauchimbwi dawa kama jina langu lilivyo na mimi mwenyewe nipo hivyo hivyo MziziMkavu hauchimbwi dawa.mzizimkavu bado naendelea kukusoma , sijajua kuwa wewe ni mtu wa aina gani bado ila post zako nazikubali ...pamoja mzeiya!!!!!!!!:smile-big:
Pikipiki hii ya usiku hutumika mji gani mkuu hashycool? hebu tupe detail zake hiyo Pikipiki ya usiku?piki piki ya usiku!
Hakyaanani hiyo ni bodaboda ya usiku mwaniwani!! kufumba na kufumbua uko rufiji muhoro!!:smile-big:
Sasa wewe ni mtu au ni mzizi?mimi ni mtu wa aina ya mzizi mkavu hauchimbwi dawa kama jina langu lilivyo na mimi mwenyewe nipo hivyo hivyo MziziMkavu hauchimbwi dawa.
uyo ni fisi mwanguni shombe wa chui na mbwa mwitu....:hurt::hurt:
Mkimtumia kama mlinzi nyumabani kwa nia nzuri tu...bila kuwaza ushirikia....Hata mbwa hawawezi tia miguu hapo kwa yeye mwenyewe anakula mbwa...achinilia mbali binadamu akikaa sawa nae anakuwa kitoweo...Juu ya uwoga wake...hata wezi kurubuni kwa ajiri ya nyama yenye sumu.
Wakifanikiwa akifa...soon utaona wanakijiji wanakuja kuchukua vipande vya mwili wake..hasa sehemu za siri,mkia na masikio...why sijui kwa nini!!
Fisi au Hyaena. Huyu anafahamika katika Kiingereza kama Spotted Hyaena; Family Hyaenidae; Species: Crocuta crocuta Fisi hawa ufugwa katika nchi nyingi za Kiafrika Hususan Nigeria. Kwa Tanzania inayumkinika kufugwa maeneo ya Kanda ya Ziwa
hasa Usukumani????????????????