pole sana lakini kama ukiendelea kusumbuliwa toa report kwenye vyombo husika
pole mkuu,huyo ni ff nini,weka wazi usename yake
may be yes.......... may be noHao hao unakula nao, unacheka nao.........WABAYA ni hao hao!! Ni tahadhari tu, usijiaminishe sana!!
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
badili id.
khaa kumbe ameoaWe ekselenti wewe?? Kwa hiyo unataka amsaliti my wife wake kwa ajili ya hilo limtu la magamba! Khaaa........si wataongeza mbegu mbovu jamani! Lol!!
ulikuwa hujiu hapa ni mwendo wa uinvisible tu
aiseeemh jamani mi nilikuwa nina ham kweli ya kukuona bebii, sasa unatangaza mambo ya kuwa robot tena. Pozi inahalibika
Mkimuona nyani ngabu ana ID nyingi mnamuona hana akili sometimes ngabu ana akili kidogo.
tehtehthete.................!!!!!!!!!!!Duh afadhali umenistua nilikuwa na mpango wa kukutana na kidosho wa JF siku ya J2 itabidi nimpoteze ahaaa aaaa,kwanza unaweza kukuta ni lidume mwenzangu hafuu ikawa tabu bin tafrani JF kweli kiboko.
Siwezi kupigana na chizi mbwambwambwa kama yuleNyie siku moja mpange mkutane sehemu ya wazi Jangwani au Mnazi Moja..
halafu zipingwe mpaka mmoja anyooshe mikono.. Mtatualika baadhi ya members
kama wewe ni 'mwanaharakati' humu ndani kuwa na tahadhari
lakini kama wewe unakuja na kuingia jukwaa la mmu,chit chat na jokes na sports...
ondoa wasi wasi