Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
 
Wasiwasi wa bure mkuu, mbona sie wengine tunafahamiana na wanamagamba kibao lakini hatuna mashaka hata kidogo.

Kama unaandika habari za kuzua hapa, bila shaka utakuwa na wasiwasi lakini kama unaandika mambo ya ukweli kwanini uwe na wasiwasi?

Hata huko fesi buku mbona tunawarushia makombora kama kawaida mkuu na hatuogopi. Labda kama huyo mwanamke yeye binafsi ana agenda ya siri dhidi yako hapo nitakuelewa.

Hatahivyo, pole kwa kitisho, siku nyingine usiwe mwepesi wa kujitambulisha. Au kwa kuwa ni mwanamke ulikuwa na matarajio!!??
 
pole mkuu,huyo ni ff nini,weka wazi usename yake
 
nilikosea sana mkuu
 
huenda kijana alitaka ajiweke,cause i wonder ni kitu gani kilimshawishi akajitambulisha kwake.
 
Mmh! Pole eeh. Ukiona wamekujua sana njo na ID mpya. Watu tushajuana vya kutosha.
 
Mimi huku mbona nimeshapata mchumba na tumeshaanza mchakato wa ndoa
 
kama wewe ni 'mwanaharakati' humu ndani kuwa na tahadhari

lakini kama wewe unakuja na kuingia jukwaa la mmu,chit chat na jokes na sports...
ondoa wasi wasi
 
hapa jamvini ni hoja tu, aidha, hoja yako iwe kwa ajili ya kujenga na si kubomoa. Aidha, magamba ama CDm wewe shauru/jadili kwa uwazi tu, huna haja ya kuogopa.
 
Back
Top Bottom