Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF


kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
vipi kuhusu fb ujakosa amani .....maelezo yako yana utata huyo dada alikujua bila wewe kutaka akujue ..vipi namba za simu amkupeana cha muhimu hapo na wewe mchunguze...
 
Huku Arusha kuna member zaidi ya 30 tunajuana na tunakutana kila mwezi! Siku tunakutana huwa ni burudani ya ukweli. Ila sijui kama hawa member ni wa magamba au ni magwanda. Ingawa tunakula na kunywa pa1.
 
Namsifu William Malecela yeye kajiweka wazi hataki unafiki na analumbana laivu bila chenga ,hata kama ni issue za magamba yeye bado yumo tu wala haogopi pamoja na kuwa ni mtu anayefahamika kutokana na uzao wake ulio maarufu kwenye siasa za Tanzania
 
Unaweza kuondokana na huo msala kirahisi sana. Mtafute huyo dem, kaa nae fresh, tokee na uhakikisha unamla aka unamgonga. Halafu unamgonga vzur mpaka anasahau yote!.
 
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!

Hueleweki kwenye maelezo yako. Mtu ambaye anakufuatilia kwa minajili ya kukudhuru hawezi kukuangalia kwa jicho la husuda. Pamoja na kuwa mimi siyo mtaalamu sana wa lugha ya kiswahili najua kuwa anayekuchukia na kukupangia mabaya hawezi kamwe kukuangalia kwa jicho la husuda. Kuhusudu ni kupenda kwa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom