Usiku naota nikifanya mapenzi hadi napiga kelele kwa sauti kubwa

Yaani napewa majamboz hadi napiga makelele amabyo ni kero.
Hili swala sijajua ni kwanini. Kila ikifika usiku wa manane naota nafanya ngono tena ngono zembe bila condom.
nimejaribu kuwauliza marafiki zangu wananiambia eti ni jini mahaba. wengine eti nina mda mlefu sifanyi mapenzi so ntafute demu.
Naomba unisaidie nifanyeje kuondokana na hili tatizo?
wengine wanasema nitumie maji ya baraka wengine eti nile mdudu.
Naomba mnisaidie niondokane na hili swala.
asanteni sana.
Mia
Njoo ufanyiwe maombi, njoo uwombewe ukiombewa tatizo lako ni dogoo, ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo, ukiombwa hizo ndoto zako za usiku zitakwisha.
 
Yaani napewa majamboz hadi napiga makelele amabyo ni kero.
Hili swala sijajua ni kwanini. Kila ikifika usiku wa manane naota nafanya ngono tena ngono zembe bila condom.
nimejaribu kuwauliza marafiki zangu wananiambia eti ni jini mahaba. wengine eti nina mda mlefu sifanyi mapenzi so ntafute demu.
Naomba unisaidie nifanyeje kuondokana na hili tatizo?
wengine wanasema nitumie maji ya baraka wengine eti nile mdudu.
Naomba mnisaidie niondokane na hili swala.
asanteni sana.
Mia

Duniani kuna mambo!
 
unawaza sana kufanya ngono, ndoto ni mlundikano wa mawazo ya kutwa.. waza kupata hela sio kutiana tu..
mia..
 
Back
Top Bottom