Usiku naota nikifanya mapenzi hadi napiga kelele kwa sauti kubwa

Weka mziki wakati wa kulala haswa reggae na pia puliza msokoto mmoja wa bangi au kunywa konyagi bapa kubwa tatizo kwishnneyyy
Hivyo vyote nafanya but hamna kitu. konyagi yenyewe kila nikila mdudu nashushia lakini wapi. mia
 
mademu wa singida nasikia hawajui kukataa. wanasema eti kumnyima mwanaume ulicho pewa na Mungu bure ni dhambi. mia

weee weeee!!! hiyo ilikuwa zamani sa hiv wameenda shule, njoo mkute toto la kinyaturu english figure utapenda njoo mkute mnyiramba hawa aminia bantu figure iko huku ya ukwee hakuna mchina huku.come and see........yaaan kama malaika
 
vipi na wewe ni toto la kinyaturu? mia
 
lili na dadake walinambia hahahah ungeseema niibuke mbona karibu tu siku ingine utoe taarifa

hahahaaa poa. naona humu jina jipya jf chitchat nikajua la mdogo wako. yeye naona mda wote yupo fb. vipi lili hajambo? mpe hi! sana. Mia
 
Back
Top Bottom