Usiku naota nikifanya mapenzi hadi napiga kelele kwa sauti kubwa

Pana tatizo kubwa hapo kwa kuwa ingekuwa kimoja kwa wiki tungejua ni ndoto za mapenzi za kawaida kwa wanaume lakini inapokuwa daily dozi hapo kiongozi umeshaoa jini bila kujua! kaombewe au ulale na mfupa wa mdudu kitandani. pole sana.
 
jmos na j2 niliomba lakini jana nilisahau. kwani ni nini? au ni pepo mchafu shetani? mia

Unaweza ukalichukulia kiutani utani bt ur in great problem my dia. U have a spiritual wife na the longer she stays the worse ur lyf and relationshps doomed! Ukijichunguza utajua kuwa hunaga hamu na mwanamke au una women lust na pia ukianza uhusiano huwa haudumu, mtagombana ki2 kidogo na kuvunja uhusiano, au dem anakuacha bila sababu! Usichezee jini mahaba kwani unaweza jikuta unatapanya pesa, biashara zinaharibika, na cku ukiota umedo lazma mambo yakuendee ovyo! Km dalili za hapo juu zipo then u nid delivarance! Utaambiwa unawaza sana bt how many thngs do u thnks kabla hujalala? Kwanini usiote unajenga nyumba na tofali limekuangukia ukapiga kelele? KAFANYIWE MAOMBI AU OMBA MWENYEWE! Mia
 
unajini mahaba mukubwa so tafuta ufumbuz fasta vinginevo itakuletea matatizo makubwa

Mkuu huo ufumbuzi wa fasta ndo ninao utaka, ni upi huo? je hayo matatizo makubwa ninayo weza kupata ni yapi? msaada wako mkuu pse!. Mia
 
Haaahahhahha,

My dia charminglady hii siginecha yake hua naitumia kumjibu post zake tu,mie yangu hiyo hapo chin,ila sio siri hua naipenda sana na kwa namna anavoimenteini lol!

nipende na mimi basi si huwa wanasema ukipenda boga penda na ua lake? Mia
 
Last edited by a moderator:
Yaani napewa majamboz hadi napiga makelele amabyo ni kero.
Hili swala sijajua ni kwanini. Kila ikifika usiku wa manane naota nafanya ngono tena ngono zembe bila condom.
nimejaribu kuwauliza marafiki zangu wananiambia eti ni jini mahaba. wengine eti nina mda mlefu sifanyi mapenzi so ntafute demu.
Naomba unisaidie nifanyeje kuondokana na hili tatizo?
wengine wanasema nitumie maji ya baraka wengine eti nile mdudu.
Naomba mnisaidie niondokane na hili swala.
asanteni sana.
Mia

tumia punyeto therapy...short an clear
 
Wahi kuwaona wataalamu! Uliza "sacatry unit" Huoni unaendelea kuharibu mimba nyingi ?
Yawezekana katika kila v5 uvitupavyo hewani v3 vinge'create zygote ?
hilo nanlo neno. nitalifanyia kazi.mia
 
Pana tatizo kubwa hapo kwa kuwa ingekuwa kimoja kwa wiki tungejua ni ndoto za mapenzi za kawaida kwa wanaume lakini inapokuwa daily dozi hapo kiongozi umeshaoa jini bila kujua! kaombewe au ulale na mfupa wa mdudu kitandani. pole sana.
asante mkuu. mia
 
Weka mziki wakati wa kulala haswa reggae na pia puliza msokoto mmoja wa bangi au kunywa konyagi bapa kubwa tatizo kwishnneyyy
 
Ni kwa sababu huingii sana jf siku hizi. Rudisha ile kasi ya kitambo uone!
kale kademu niliko kuwa nakafukuzia kameshaolewa. mbaya zaid i eti akampa rafikie kadi ya harusi. kapumbavu saana kale kabint aisee. so sasa hivi natangaza kuwa single so ambaye yupo interested kuwa nami anakaribishwa. napenda wa jf coz atanifanya mda wote niwe jf narusha pm tu. mia
 
Back
Top Bottom