Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

mkuyati og haihitaji ku-prove tangu lini sifuri ilalingana na mbili hata kama umesoma shule za kata na ukata. nashukuru kuturudisha darasani japo ni zaidi ya miongo miwili iliyopita tangu tuachane hisabati kama hizi. hatua ya tatu ndipo makosa yalipo
 
Last edited by a moderator:
mkuyati og haihitaji ku-prove tangu lini sifuri ilalingana na mbili hata kama umesoma shule za kata na ukata. nashukuru kuturudisha darasani japo ni zaidi ya miongo miwili iliyopita tangu tuachane hisabati kama hizi. hatua ya tatu ndipo makosa yalipo
MSAFIRI KABULWA mimi nimefata kanuni zote za hesabu, mwisho wa siku 0=2. Argue mathematically ndugu yangu, hamna siasa hapo!!
 
Ukijua sana hesabu utaishia kua muongo au tapeli.

Prove 5 = 7

5^0 = 7^0
1 = 1
Hence proved
 
Ukijua sana hesabu utaishia kua muongo au tapeli.

Prove 5 = 7

5^0 = 7^0
1 = 1
Hence proved

Anayejua hesabu atakwambia you cannot use an identity to prove anything. 0 in this case is an identity for the powering process just as it is for multiplication .

Huwezi kusema

5 x 0 = 0
7 x 0 = 0
Therefore 5 = 7

Hili litamaanisha kila namba ni sawasawa na kila namba nyingine, number theory itaanguka.

Ndiyo maana nashangaa watu wanavyofika mbali kwenye MAGAZIJUTO/BODMAS huko wakati hesabu nzima imeanza katika msingi wa kugawanya namba kwa sifuri, kitu ambacho kihesabu ni singularity na kanuni zote za hesabu zinavunjika, hivyo hakiruhusiwi.
 
Back
Top Bottom