Usifungue kama hukupata atleast "c" ya hesabu form 4!!!

kosa lipo mwanzoni. na F yangu sijawahi kukutana na 0/0 maishani mwangu.
 
hapo kwenye 10-10=0...weka 0 kabla ya kucancel juu na chini then jaribu tena kama itakuja 2...nimejaribu coz nlipataga D
MAGAZIJUTO imezingatiwa! Kutoa ni hatua ya mwisho kabisa...lol!
 
hapo hamna kosa... Hiyo ni series, inakubali.ukiiweka kwenye infinite GP... Michezo tu ya math hiyo
 
hapo hamna kosa... Hiyo ni series, inakubali.ukiiweka kwenye infinite GP... Michezo tu ya math hiyo

Division by zero nayo inakubalika? Unajua implication yake ni nini ukikubali division by zero?

Every number will be equal to every other number and the entire concept of number will lose any meaning.
 
there is nothing to be proved in the case above, the question set is wrong. Nothing can be divided by zero. the answer to such a case is Infirnity which means anything is the answer to the problem. eg, 0/0=0. 1. 2, 3, 4, 5, 6,......1000....ad infinitum.
 
0/0 =2? IS IT. Hebu tumia vizuri brackets. Mimi napata undefined
INFINITY.JPG
 
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..

View attachment 53691

Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!
:israel:

I havent looked how you came to the conclusion 0/0=2, I havent looked because you can do it several ways and still come to the conclusion 0/0=2. in reality 0/0 is undefined,you cant give the result 2 because 0/0 is actually equals to all numbers in the universe WHY? This is because if we say 0/0 = y then multiply by 0 throughout we get 0=0 x y, Now from here if we are looking for y,then y is any number which when multiplied by 0 will give 0,but any number in the universe multiply by 0 the result is 0 hence y is any number more mathematically -infinity < y < infinity
 
Kwanini juu utumie difference of two squares meanwhile chini ume-collect like terms?
 
Pia nini kime-determine utumie 100? na je tunaweza kubadilisha 100 iwe let say 2?
 
mwalimu wangu wa shule ya vidudu aliniambia 0 gawa kwa 0 jibu lake haiwezekani,sasa leo wewe unasema 0 gawa kwa 0 = 1....hapo kuna utata hapo labda kama kuna kanuni nyingine mpya ya hisabati umegundua ambayo mwalimu wangu hakusomaga.
 
Back
Top Bottom