Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,712
- 36,170
Habari!
Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu.
Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha.
Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi?
Setikali imeshindwa kubuni mbinu ya kuwafanya watoto wapende na kuelewa somo la Hisabati?
Sasa ukitaka uchoke angalia matokeo ya kidato cha nne uone zero za hesabu zilivyojaa.
Tatizo ni nini?
Lishe duni?
Genetic factor (watoto wamerithi udumavu)?
Walimu?
Waziri wa elimu?
Sera ya elimu?
Mazingira duni?
Shule ya msingi siku hizi hesabu nasikia wanachagua majibu.
Sasa hesabu ya kucgagua mtoto anakosaje?
Maana unafanya unapolemewa unaangalia jibu linalokaribia na jibu lako unaweka.
Nikiwa darasa la 4 nilisikia nikisengenywa kuwa Mimi ni bunduki macho wakimaanisha kuwa nakodoa sana kwenye hesabu.
Niliingia darasa la 5 nikiwa na hasira ya hesabu. Mpaka nafika darasa la 6 hesabu yoyote ya primary nilikuwa naweza kuifanya kwa kichwa tu.
NECTA la saba nikapiga A nzuri ya hesabu huku wale walionisengenya la nne wakipata D na C .
Namaanisha nini hapa?
Namaanisha kuwa kila mtu anaweza kufanya vizuri kwenye Hesabu na masomo mengine.
Kuna mahali tunakosea.
Hizi F za hesabu ni janga kwa taifa