Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii..
View attachment 53691
Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
Kosa lipo hatua ya nne,ulitakiwa kupata jibu la kwenye mabano ambayo sawa na (20)(0)/(10)(0) kabla ya kugawanya/kurahisisha (10-10)/(10-10).