Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

Kama umeajiliwa
Fanya hiki soma Master then PhD
Kama hujaajiliwa soma diploma ya umeme then fungua kampuni ya umeme changamoto lazima uwe na connection ya kupata tenda uzuri ww ndio utakuwa mhasibu sababu unajua
Usikatishwe tamaa na watu walioshindwa ukweli utabaki elimu ni muhimu zaidi
 
Shukrani sana
 
PhD ni more than 5 years so sio kirahisi rahisi hivyo jameni. Lipeni jambo uzito eboooh
 
Back
Top Bottom