Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

chamaclotus

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
971
1,969
Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri

Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa ujenzi au umeme ila akili nyingine inanambia nitawaste time Bora nikomae na hii fani niliyonayo ikibidi niongeze masters then PhD.

Ushauri wenu ndugu zangu
 
Kama kwenu mna hela za kutosha (najua wewe binafsi huna hela ndio maana bado unahangaika kutafuta elimu zaidi) na una uvumilivu soma CPA, ukishaipata fanya kazi kwenye audit firm kwa uvumilivu kwa muda wa miaka 3. Utaniletea kuku mweupe kunishukuru.
 
Maisha ni kupanga na kuchagua,kuna jamaa yangu nilisoma nae Bachelor degree ya Electrical Engineering,tulipomaliza akasoma Masters hiyohiyo ya Electrical Engineering,kisha akapiga CPA akamaliza, halafu akasoma Bachelor ya Business Administration amemaliza mwaka jana,sasa hivi anapiga kazi Serikalini safi japo mwanzoni alifanya kazi muda mrefu sana Vodacom,
 
N
Maisha ni kupanga na kuchagua,kuna jamaa yangu nilisoma nae Bachelor degree ya Electrical Engineering,tulipomaliza akasoma Masters hiyohiyo ya Electrical Engineering,kisha akapiga CPA akamaliza, halafu akasoma Bachelor ya Business Administration amemaliza mwaka jana,sasa hivi anapiga kazi Serikalini safi japo mwanzoni alifanya kazi muda mrefu sana Vodaco

Maisha ni kupanga na kuchagua,kuna jamaa yangu nilisoma nae Bachelor degree ya Electrical Engineering,tulipomaliza akasoma Masters hiyohiyo ya Electrical Engineering,kisha akapiga CPA akamaliza, halafu akasoma Bachelor ya Business Administration amemaliza mwaka jana,sasa hivi anapiga kazi Serikalini safi japo mwanzoni alifanya kazi muda mrefu sana Vodacom,
Sawa mkuu
 
Kama kwenu mna hela za kutosha (najua wewe binafsi huna hela ndio maana bado unahangaika kutafuta elimu zaidi) na una uvumilivu soma CPA, ukishaipata fanya kazi kwenye audit firm kwa uvumilivu kwa muda wa miaka 3. Utaniletea kuku mweupe kunishukuru.
Shukrani mkuu
 
@konda msafi nipo Durban Dr Langalibalele Dube Street nipe namba ya shemejii yangu khumbu nimjulie hali mkuuu
 
Back
Top Bottom