Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Huyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!
View attachment 406655
Je hi fi music system inapatikana wapi kwa Tanzania? Mimi sipendi bass kubwa sana, napenda music system unaochuja vizuri (stereo) na kusikika vyombo vyote
 
Aahaaa kaka acha kumtishia bure,mm nimenunua home theater pale samsung agent mwanza pale nata kwa bei ya 250,000 ina deck,spika 5 na woofer moja.
Wapi apo nikachukue kesho asubuhi ya laki mbili ya Samsung,, au ni vile vyenye spika kama kikombe cha chai vinaungua kama taa za umeme
 
Je hi fi music system inapatikana wapi kwa Tanzania? Mimi sipendi bass kubwa sana, napenda music system unaochuja vizuri (stereo) na kusikika vyombo vyote
cheki kwa dealers wa miziki mjini, mbona zipo nyingi tu ingawa watu hawazipendelei sana siku hizi
 
cheki kwa dealers wa miziki mjini, mbona zipo nyingi tu ingawa watu hawazipendelei sana siku hizi
Yale yale ya bendera kufuata upepo, unadhani kuna jipya basi???.

Na bei ya hizi hi-fi ni juu kuliko. nadhanu pia yaweza kuwa sababu.
 
ni kweli ndugu yangu PANASONIC ni wazuri sana tu au kama anajiweza pia aangalie JVC lakini asihangaike na SAMSUNG kwenye music si wazuri mimi huwa hata sihangaiki kujaribu music wa SAMSUNG najua ni mbwembwe tu na bei kubwa lakini kitu chepes kama mabox ya mchina. MUSIC utapata PANASONIC,SONY,JVC na hata LG ukiwa na mtu nje au ukiweza kumaliza biashara nunua BOSE. hii ndo majirani wataandamana kukutaka uhame mtaani maana utabomoa nyumba zao na kila siku mabint watakuwa wanakuja kwako waje kusikilizia nyimbo zao.
Bose ina bei gani?
 
home theatre ni nzuri kwa wapenda movies kwani yenyewe inatoa sound inayoongezwa manjonjo hata kama hayakurekodiwa kama mwangwi,base sana zinakuwa na spika nyingi n.k. na hizi Ilitengenezwa maalum kwa movies ndo maana zikaitwa home theatre.... lakini kwa wapenda muziki sana wanunue radio zenye mfumo wa hi-fi ( high fidelity) hii inakuwa na speaker mbili tu lakini zinachambua na kuchuja music na kukufanya kusikia kila kifaa kilichopigwa humo.
 
Huyu muhuni kama hajapata woofer anatakiwa akachukue mashine hii hapa Sony model dav-dz650, ninayo ghetto now aisee ni kufuru wazee, unaweza ukaangusha ceiling na ina jumla ya 1000watts tu kama output. Ina digital sound amplifier "S-master" inayotoa dynamic sound hatari mno waweza dhani ni hi-fi system ila tofauti hii theatre bass yake ni kali zaidi!
View attachment 406655
Bei gani hii mkuu?
 
Hizi ndo best brands kwa audio systems kwa sasa. Speaker ndogo mziki mkubwa
1. Sonos
2. Bose
3. Denon
Hizo zingine za kawaida tu

Google hizo brands ujiridhishe
Hapo ni denon tu wengine uzushi. Halafu brand hizi sijui kama zinapatikana mkuu.
 
Mlimani City Game wameshawah kuleta miaka ya nyuma lakini waswahili kwa ushamba wakaiacha weeeeee coz vilikuwa vidogo tu halafu hazina urembo mwingi.waswahili wanataka yale makubwa ya kichina yenye taa taa nying.disco light. Akaja kununua shemeji yangu kwa mil 2.5 Music wake ulikuwa balaa.mle game ulikuwa ukipigwa utadhan kuna disco ila ukienda kuangalia unakuta ile main na vispeaker vingine sita vidogo dogo tu ila vizito sana.

Sijajua kama wameleta tena ila walikata tamaa coz waligundua waswahili wanapenda ujazo na si ubora. Ntatupia picha za aina ya hizo radio za BOSE. Nliona pia kuna gari flan ya kifahari huko nchi za wenzetu wanatangaza kuwa zina music wa BOSE. Kma umepanga nakushauri usinunue au kama unakaa nyumban kwako ila nyumba zimekaribiana sana usininunue maana utagombana tu na wakazi wenzio. Subiri tu ukija kuwa na kwako ndo ununue.
Pia usinunue ikiwa una matatizo ya moyo halafu una watu wanapenda music kwako. Maana moyo wako unaweza kwenda kufuata midundo ya eimbo husika sasa kama ni midundo ya kasi basi ndo unaaga dunia hiv hiv tunakuona.

Acha maneno weka music.

Mbona hujatupia picha?
 
Hivi wakuu duka Gan hasa kwa hapa bongo naweza pata home theater ya bajet ya laki sita hivi maanake Jana nimezunguka kariakoo kila nayoiona siiamin nataka Sony
Sony wana duka lao mitaa ya Nkurumah street, mkabala na Jengo la NHC au TTCL

Au unweza enda Mlimani City kuna duka pia na ndani kule Nakumatt au Game
 
Back
Top Bottom