Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

Naomba mwenye kuijua hii Sony LBT- sh 2000 Dj Sound system, zinatema vizuri!? vp kuhusu bass yake!?
Wapi naweza pata!?
 
Kaka nakushauri nunua mziki wa pisi 5. Aina nzuri n Kenwood au Sony. Mimi nina Kenwood hatari kaka napiga hadi ktk visherehe vya mtaani. Kwa bajeti yako inatosha. Nichek pm
Hahaaa mkuu utawaweza hawa watoto wanataka minara ya speaker sebureni.

Yaan kwa bajeti ya chini 900k huwezi kutana na home theatre ya kushtua, tena napo uwe makini.ninayo kenwood ya 5 dek nikiamkaga na majini ya kirastafarian huwa nafunga mtaa.
 
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
Da mkuu umenichekesha Sana, lakini mbona hatujazikia maafa huko kama ya tetemeko la ardhi, yaani sauti ya subuffer idondoshe nyumba,
 
Nimefanikiwa kupata kitu BOSE....aisee asikwambie mtu kitu. Hii kitu inagonga. Ni juzi juzi tu nlikuwa na kikao kwa mjumbe. Mtaani wameenda kulalamika kuwa nina ponda nyumba zao na kitu kizito wanashindwa kulala maana bati zao zinapiga kelele na kuta kutikisika. Nmemkatalia kabisa mjumbe hajaamini anahisi kuna vitu nafanya home illegal basi imebidi nimlete home akakagua akaenda kuwapa ujumbe kuwa hamna kitu.

Jumamosi mi najilia music wangu sina hili wala lile kaja mjumbe na wazee wawili wakagonga geti nkaenda kuwafungulia. Moja kwa moja wakaongoza ndani. Kufika wanaaanza kukagua kumbe wale wazee wameenda tena kumwambia mjumbe nagonga. Ndo wakagundua ni mziki.aiseee walishangaa sana. Wamesambaza habri mtaani kuwa napiga disco.sasa imekuwa shida nikipita nanyooshewa vidole. Mabint wanataka waje kusikilizia nyimbo zao kwangu... Matozi nao imekuwa shida na flash zao kila wakati wanataka waje wajaribu nyimbo zao kwangu.
BOSE ni balaah asikwambie mtu.inatisha hasa...hata hivyo nililetea zawadi na bro toka kwa mzee obama. Huu muziki ukifungua kwa saut kubwa unaweza sababisha tetemeko la ardhi kabisa. Cha ajabu wewe ukiwa ndani husikii sana. Hapo nashindwa kuelewa inakuaje
 
Weka picha yake, na ka gazeti ka tz ka udaku ili tuamini.
Vinginevyo hizo gia huwezi pata demu humu.
 
Ha ha ha.....Naogopa kuweka ndugu yangu maana nikiweka tu waswas wangu unataka u prove halafu uwe unakuja kujaribishia nyimbo zako kwangu. Anyway muulize dada yako mwanaisha akuoneshe zile picha alipiga kwangu au angalia tu kwenye Profile yake utaona ameweka picha amepiga sebulen kwangu mbele ya tv na music wa bose.

Weka picha yake, na ka gazeti ka tz ka udaku ili tuamini.
Vinginevyo hizo gia huwezi pata demu humu.
 
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.

Hii BOSE unaipata wapi hapa bongo aisee!! Maana ni hataree sana?
 
Nimefanikiwa kupata kitu BOSE....aisee asikwambie mtu kitu. Hii kitu inagonga. Ni juzi juzi tu nlikuwa na kikao kwa mjumbe. Mtaani wameenda kulalamika kuwa nina ponda nyumba zao na kitu kizito wanashindwa kulala maana bati zao zinapiga kelele na kuta kutikisika. Nmemkatalia kabisa mjumbe hajaamini anahisi kuna vitu nafanya home illegal basi imebidi nimlete home akakagua akaenda kuwapa ujumbe kuwa hamna kitu.

Jumamosi mi najilia music wangu sina hili wala lile kaja mjumbe na wazee wawili wakagonga geti nkaenda kuwafungulia. Moja kwa moja wakaongoza ndani. Kufika wanaaanza kukagua kumbe wale wazee wameenda tena kumwambia mjumbe nagonga. Ndo wakagundua ni mziki.aiseee walishangaa sana. Wamesambaza habri mtaani kuwa napiga disco.sasa imekuwa shida nikipita nanyooshewa vidole. Mabint wanataka waje kusikilizia nyimbo zao kwangu... Matozi nao imekuwa shida na flash zao kila wakati wanataka waje wajaribu nyimbo zao kwangu.
BOSE ni balaah asikwambie mtu.inatisha hasa...hata hivyo nililetea zawadi na bro toka kwa mzee obama. Huu muziki ukifungua kwa saut kubwa unaweza sababisha tetemeko la ardhi kabisa. Cha ajabu wewe ukiwa ndani husikii sana. Hapo nashindwa kuelewa inakuaje

Umeipata wapi mzee mi naitafuta
 
Hizi ndo best brands kwa audio systems kwa sasa. Speaker ndogo mziki mkubwa
1. Sonos
2. Bose
3. Denon
Hizo zingine za kawaida tu

Google hizo brands ujiridhishe
 
Mlimani City Game wameshawah kuleta miaka ya nyuma lakini waswahili kwa ushamba wakaiacha weeeeee coz vilikuwa vidogo tu halafu hazina urembo mwingi.waswahili wanataka yale makubwa ya kichina yenye taa taa nying.disco light. Akaja kununua shemeji yangu kwa mil 2.5 Music wake ulikuwa balaa.mle game ulikuwa ukipigwa utadhan kuna disco ila ukienda kuangalia unakuta ile main na vispeaker vingine sita vidogo dogo tu ila vizito sana.

Sijajua kama wameleta tena ila walikata tamaa coz waligundua waswahili wanapenda ujazo na si ubora. Ntatupia picha za aina ya hizo radio za BOSE. Nliona pia kuna gari flan ya kifahari huko nchi za wenzetu wanatangaza kuwa zina music wa BOSE. Kma umepanga nakushauri usinunue au kama unakaa nyumban kwako ila nyumba zimekaribiana sana usininunue maana utagombana tu na wakazi wenzio. Subiri tu ukija kuwa na kwako ndo ununue.
Pia usinunue ikiwa una matatizo ya moyo halafu una watu wanapenda music kwako. Maana moyo wako unaweza kwenda kufuata midundo ya eimbo husika sasa kama ni midundo ya kasi basi ndo unaaga dunia hiv hiv tunakuona.

Umeipata wapi mzee mi naitafuta
 
Nunua mkulima alafu tumia mabetri ya Panasonic tu, achana ma betri kama tiger, mziki utakao toka hapo ni balaa tupu
 
Back
Top Bottom