Habar zenu wadau. Nataka kununua laptop lakini mimi sio mzoefu/sana na naogopa kupigwa mana siku hizi nimeskia wafanyabiashara wajanja wanauza laptop used kwa bei ya mpya, wanachofanya ni wanazisafisha na kuziweka ndani ya ganda, kitu kinaonekana brand new kumbe sio.
Je kuna namna unaweza angalia au kuna kitu specific unaweza cheki kujua kama hiyo mashine husika ni mpya au imeshatumika (refurb)?
Je kuna namna unaweza angalia au kuna kitu specific unaweza cheki kujua kama hiyo mashine husika ni mpya au imeshatumika (refurb)?