Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wadau baada ya kuchoshwa na saboofer za mchina nataka nijiongeze kidogo, maana kila mwaka nanunua mpya!!

Napendelea brand ya samsung, ila hata kama kuna nyingine nzuri sawa!! Nahitaji kujua bei zinaanzia kiasi gani na ubora wake pia!!
Bajeti niliyonayo ni 600k!!
 
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.
 
Wewe ulibahatisha, maana hiyo bei ni ya DVD player peke yake.
Kama ukipenda kuweka hvo,ila tofauti ya hiyo ya 250 na nyingine mnazozitaja ni kua speaker za hzo nyingine zina stand.ila function zote kama dvd,aux,fm radio,USB, recording kwenye usb ninapata kwa hyo 250 tu.
 
mimi sikushauri kununua samsung music. kiukweli samsung kwa upande wa music si wazuri. nenda kanunue SONY hawa wanamusic wa maana hasa. kuna radio alinunua mzee miaka kama 15 iliyopita mpaka sasa inapiga music achaa.... akigonga hadi mapigo yako ya moyo yana badilika yanaanza kufata mdundo wa wimbo unaopiga. kama upo ndani husikii sana ila jaribu kutoka nje ndo utasikia kitu kinavyogonga. kama ni nyumba haikujengwa imara unaweza kuta inapata ufa na baadaye kubomoka kabisa. na pia nliona PANASONIC wapo vizur na LG kwa Samsung mi napenda TV zao tu ila kwa music hawana kitu pamoja na bei zao kuwa juu lakini si kitu. ukiwa na mfuko mkubwa kanunue BOSE MUSIC SYSTEM.... Hii inatisha kabisa ni weka mbali na watu. inagonga kaka we acha tu asikwambie mtu ila ukinunua hii machine hakikisha haufungui sana sauti na usiweke bass ya sifa unaweza kuangukiwa na nyumba unayoish.

Mkuu kweli kabisa samsung kwenye audio sio vizuri,Marehemu mzee alinunua Panasonic pale sound and vision kwa Benson tarehe 30.10.06 inapigaa balaaa ,ukiwasha subwoofer ndo lazima majirahi wajute.
 
Back
Top Bottom