THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,167
- 175
"MAGIC FM" !? What this ?
Near by Chimala Mbeya.
Near by Chimala Mbeya.
Wasikilizeni na watangazaji wa PRAISE POWER FM ile radio ya mama mbeba maono wanaotangaza kipindi cha magazetini saa 07:30AM mpate uhondo yani kama walifika la 12 Darasa bac kazi ipo
Heri ya Meshack Nzowa ana afadhali na akili timamu kuliko Gerard Hando wa radio ya wafu anayefanya mambo kama kichaa. Ni vizuri kumkosoa mtu akikosea bahati mbaya kama Nzowa but Hando anakosea makusudi na kujifanya insane. All in all waandishi wa nchi hii ni wavivu sana kujisomea, amazingly hawajui mambo mengi sana.
hahahaaaaa!
baadhi ya watangazaji ninaowaheshimu sana kwa kazi zao
- Masoud Kipanya (wa timesfm) - huyu jamaa anajua sana!
- Anorld Kayanda (wa clouds)
- Fina Mango (wa magic)
- Sebo (wa magic)
- Michael (wa magic)
- Fadhili Haule (wa capital radio)