Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
131
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.

Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.

Screenshot_20231128-215031_WhatsApp.jpg
 
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.

Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.

View attachment 2828021
Choo cha master kitakusumbua, kivyovyote karo la choo litakuwa upande ambao kuna vyoo vingi, sasa choo cha master itabidi kiwe na chamber zaidi ya moja na pia kipo mbali na mahali ambapo unatakiwa ujenge makaro, kingine hakuna privacy ya chumba cha master, mlango wake unatazamana moja kwa moja na mlango wa jikoni

Jiko kuwa na madirisha kuta zote utakufanya ukose sehemu ya kuweka makabati ya ukutani (yale ya juu)

Madirisha ya sebleni ni madogo na pia ni machache, kwa kuangalia tu yatakuwa na upana wa futi 3
 
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi.

Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.

View attachment 2828021
Mbona kama ramani yangu
 
Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae
Screenshot_20231128_213607_Gallery.jpg
 
Mkuu ni bora ukafanya consultation na Architect aliyekuchorea. Huku unaweza pata washauri wengi alaf ukafanya mamuzi mabaya
 
Ramani upande wa jiko na stoo sijapaelewa siku hizi mambo ni open kitchen. Chukua mchoro huo utanishukuru baadae View attachment 2828059
Hakuna kitu sipend kama mtindo huu wa chumba cha chakula,ingekua vizur sana hii room ya kulia ingekua dinning halaf dinning yenyew ndo ikawa room ya kulala,hapo unafanya utundu kidogo tu inakua bonge ya raman.
 
Back
Top Bottom