'Ushauri best' uliowahi kupewa......

The Boss,i don't know if your thread was about me or may be was just a coincidence but what i can say it is about life and experience that goes with it.About ten years ago wakati nafikiria habari za kuoa nilikuwa na kaka wa rafiki yangu katika mazungumzo tu akawa anatoa experience ya rafikiake kwamba alioa kutoka kwenye familia ambayo baba na mama walikuwa wameachana by then ndoa zilikuwa sio kama generation yetu hii yaani ndoa kuvunjika ni kama fashion.

Huyo rafiki wa kaka wa rafikiangu ndoa yake haikuchukua hata miaka mitatu ikawa imevunjika na katika regrets zake alisema kwamba hawezi kumshauri mtu kwenda kuoa kwenye familia kama hiyo. That was then,baada ya kuongea na kaka wa rafiki yangu hiyo issue ilipita miaka kadha,sasa wakati natafuta my ideal woman nilikuwa na my high school sweatheart lakini maongezi ya kaka wa rafikiangu yalikuwa yanakuja mara kwa mara kwani huyu my high school sweetheart wazazi wake tulikuwa tunaishi kitongoji kimoja waliachana katika mazingira ya kusikitisha kwamba mama aliamua kumpokea yesu, lakini to the extreme yaani hata comitment za familia kama mama akaziacha,baba akamuuliza simple question kwamba either ndoa au ulokole.

Mama alichagua yesu na akaondoka nyumbani japo baadae alitaka kurudi,anyway niachie hapo upande ule.Sasa mimi hayo maneno yale ya kaka wa rafikiangu japo yaliniumiza kichwa lakini hatimaye nilijipa moyo kwamba was isolated incident.Nikaoa my high school sweetheart,ten years later with two kids,my wife left me sadly living with a guy used to be our driver.It is not fiction guys,it my true life's experience
Dah!!!! Pole sana mkuu....
 
" usimdharau mtu yeyote yule" amri ya kwanza ya mama
" Hata kama maisha ni magumu kiasi gani" Be positive. from my beautiful mum.
" Kila baya kuna zuri ndani yake" ushauri wangu mwenyewe..
Usimdharau mtu yeyote yule ila usidanganyike na kile unachokiona either, hii ntakumbuka maana nlivyoingizwa town sio mchezo.
 
Usimdharau mtu yeyote yule ila usidanganyike na kile unachokiona either, hii ntakumbuka maana nlivyoingizwa town sio mchezo.

yaani wewe ulivyo 'mjanja' halafu uingizwe mjini?lol
natamani unipe full story..lol
 
" usimdharau mtu yeyote yule" amri ya kwanza ya mama
" Hata kama maisha ni magumu kiasi gani" Be positive. from my beautiful mum.
" Kila baya kuna zuri ndani yake" ushauri wangu mwenyewe..

you have a 'good mum'....
 
halafu Gaijin ulipotelea wapi?
tulikumiss mno,umeona gazeti la udaku la jf?
 
Nipo busy kimtindo siku mbili hizi, ila nimepitia baadhi ya posts nimecheka sana.....nyie watu si wazima!

halafu lile gazeti watu wametumia kurushiana vijembe vya ukweli...yaani lol
 
yaani wewe ulivyo 'mjanja' halafu uingizwe mjini?lol
natamani unipe full story..lol

Mwenyewe sikuamini, mpaka aibu kuhadithia.
Ila baada ikagundulika kwamba ni watu ambao walikua wananifuatilia muda.Alafu walikua na bahati kishenzi, yani ni kama vile nilienda kuwachukulia pesa wao.
 
The boss kwa kweli wapo wengi katika aspects tofauti sana
To begin with......my lovely mother siku moja aliniambia akiwa anasafiri kwenda nje ya nchi....." Olesaidimu mpende , msiklize na kumuheshimu sana mkeo mwanangu" hili nalikumbuka as limekuwa moja kati ya nguzo kubwa sana ya ndoa yangu, wengi tuliopo kwenye ndoa furaha na mafanikio yetu yanakuwa impaired sana na conflicts.....to an extent mtu anajuta na kukata tamaa....so far as those words still revaberates in my ears huu ushauri naukumbuka sana na ni one among top ranking
 
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\
ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili
katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na mengineyo....

most od times wakati unapewa huo ushauri unaweza kuwa hukujali saana
au hukuamini huo ushauri au kuutilia umuhimu....lakini through experience baada ya mda fulani
unagundua' dah....kumbe ule ushauri alionipa fulani' aiseee ulikuwa wa maaana mno na umekusaidia saaana
kwenye mambo yako.......

sasa leo ningependa watu tu share 'the best advice uliyowahi kupewa' iwe kwenye mapenzi au maisha tu kkwa ujumla

ushauri ambao kila mara unajikuta unaukumbuka sana na una shukuru kuupata...na ikiwezekana

kumtaja aliekupa huo ushauri humu kama ni ndugu,au rafiki au ni kitabu tu ulisoma au ni hapa jf uliona mtu kasema...

so people....what is the best advice you have ever received????????????

hii kweli mkubwa THE BOSS.Mimi,baba yangu mdogo alinishauri na kusoma kozi ya CIVIL ENG,badala yake nisome ict-b{info com tech with business} kwa kweli namshukuru sana kwani nimepata kozi ambayo naifurahi sana jinsi ninavyopata elimu mbalimbali kwa wakati m1.
 
Back
Top Bottom