'Ushauri best' uliowahi kupewa......

Waswahili tabu tupu, mtu akikubali assessment yenu tabu, akiikataa tabu!

leo umezungumza kama?
siku zote we ndo mswahili no 1 humu
leo waswahili wenyewe wanaweza kuandamana
umezungumza kama we ni wa 'manchester' lol
 
Mwenyewe sikuamini, mpaka aibu kuhadithia.
Ila baada ikagundulika kwamba ni watu ambao walikua wananifuatilia muda.Alafu walikua na bahati kishenzi, yani ni kama vile nilienda kuwachukulia pesa wao.

pole aisee naona ulikutana na 'wataalamu' aisee
 
hii kweli mkubwa THE BOSS.Mimi,baba yangu mdogo alinishauri na kusoma kozi ya CIVIL ENG,badala yake nisome ict-b{info com tech with business} kwa kweli namshukuru sana kwani nimepata kozi ambayo naifurahi sana jinsi ninavyopata elimu mbalimbali kwa wakati m1.

aisee hongera sana....
 
The boss kwa kweli wapo wengi katika aspects tofauti sana
To begin with......my lovely mother siku moja aliniambia akiwa anasafiri kwenda nje ya nchi....." Olesaidimu mpende , msiklize na kumuheshimu sana mkeo mwanangu" hili nalikumbuka as limekuwa moja kati ya nguzo kubwa sana ya ndoa yangu, wengi tuliopo kwenye ndoa furaha na mafanikio yetu yanakuwa impaired sana na conflicts.....to an extent mtu anajuta na kukata tamaa....so far as those words still revaberates in my ears huu ushauri naukumbuka sana na ni one among top ranking

kwa mama kukuambia muheshimu mkeo
alikusaidia sana aisee
 
leo umezungumza kama?
siku zote we ndo mswahili no 1 humu
leo waswahili wenyewe wanaweza kuandamana
umezungumza kama we ni wa 'manchester' lol

Ha ha ha Waswahili wanajua I got their back. Hiyo comment yangu ni kutoka kwa Mswahili mmoja kwa Mswahili mwengine. Labda unambie wewe si Mswahili kwa hiyo nimekutusi :]
 
mimi ni mswahili ndo maana nimeona
umefanya 'abomination' lol..
hivi unajua kuna watu waliwahi kutaka eti kuongeza maana nyingine ya mswahili
iwe ni mtu mbambaishaji kwenye kamusi?
eti huyu jamaa ni mswahili saana...so ieleweke ni mbabaishaji saana lol
wenyewe nusu waandamane lol i mean tuandamane lol
 
Kwenye hayo maandamano mtu fulani angekuwa mbele na bango limeandikwa "mnanchekesha" ...:]
 
dah !the boss thread yako nimeisoma toka usiku jana ilinifanya ni kwenye kutafakari sana
unajua mara nyingi mwanadamu huwa tuna silka ya kusahau nyakati tunapita kwenye shida tulipitia yapi na nani alitunyanyua tukiwa down nafkiri ni katika kufanya masiha yasonge mbele,well ni nzuri kiakili since kwa wengi wetu kwa kuangalia madhaifu /kushindwa kufanya maamuzi wakati fulani kulituangusha so we want to move forward!l
Mimi nliwahi kupewa ushauri na mtu ambaye sikuwa kufikiri naweza akanishauri hivo ever!by that time nilikuwa binti mdogo kimsingi,17 yrs.well nilipata ujauzito na to be frank by tht age the first thought was kuitoa,mtaani kwetu kulikuwa na kijana alikuwa rafiki yangu sana (hakuwa bf lakini)alipojua wat i go thru ALINIAMBIA USITOE HIYO MIMBA KAMA WEWE HUMTAKI HUYO MTOTO KUNA SIKU UTAKUJA KUNIELEWA!sitakaa nisahau hiyo sentensi though its almost 15 yrs now!sentensi hiyo ilininyanyua chini nilikkokuwa na kuanza kuitazama dunia na maisha katika macho mengine kabisa!nachelea kumtaja lakini kama yupo humu apokee MANYOTA YAKE!
 
siku moja nilifukuzwa shule nikiwa 4m 2 sababu ya ada, hakika nyumban palikuwa hamna hata sh. kumi... mama mkulima na hamna ndg wa kunisaidia, NAKUMBUKA MAMA ALINIANGALIA KISHA AKASEMA.. "MWANANGU MUNGU ANATUONA KAMA UNAPENDA SHULE UTAFIKA CHUO KIKUU, na kweli nilifika
 
aiseee this is very touching....
natamani utumalizie ilikuwaje mwishowe
hasa mtoto leo yukoje?
 
siku moja nilifukuzwa shule nikiwa 4m 2 sababu ya ada, hakika nyumban palikuwa hamna hata sh. kumi... mama mkulima na hamna ndg wa kunisaidia, NAKUMBUKA MAMA ALINIANGALIA KISHA AKASEMA.. "MWANANGU MUNGU ANATUONA KAMA UNAPENDA SHULE UTAFIKA CHUO KIKUU, na kweli nilifika

aisee sisi huwa tunaamini
maneno ya mama ni dua inayofika kwa mungu siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom