'Ushauri best' uliowahi kupewa......

huyu aliekuambia huu ushauri ni sister?

Sikuambiwa mie, nilikuwa namsikia Bi.Mama tu, anaupeenda

Mara nyingi akiwa anaeleza kuwa mtu kamkorofisha lakini kwa vile kumgombana na mtu kutaka, yeye akaacha yapite tu
 
aiseee this is very touching....
natamani utumalizie ilikuwaje mwishowe
hasa mtoto leo yukoje?

yah!nililea ile mimba though ilikuwa ni nyakati ngumu sana u can imagine the girl of tht age those times uwe pregnant!kabeby kakazaliwa (oh wat a gorgeous gal )nikakaa kumlea kwa mwaka mmoja then ndo nikaenda from 5.yule kaka aliendelea kumpenda mtoto wangu mpka watu mtaani walihisi ni wake!ye alikuwa anasoma day so kipindi nipo shule ndo alikuwa ananipa updates za mtoto wangu anamchukua anashinda nae kama ni weekends,basi nikamaliza shule nikafaulu vizuri kidato cha sita tena kwa div 1,nikaenda chuo kikuu,nikaolewa(na the father of my baby),nikafanya masters yangu ni mwalimu sasa hivi.my baby girl ni binti mkubwa sasa yupo form 2,tunafanana sana!she is my BEST FRIEND!MY ANGEL!kila nikimwangalia najiona ni mshindi!yule brother aliendelea kuwa rafiki yangu na NAMHESHIMU SANA SANA SANA!naye ameshaoa sasa!familia zetu sio marafikia tena tumeshakuwa ndugu!
 
Very touching
Nigerian movie inafanania kidoogo lol
 
WAzazi walisemaje kuhusu mimba?
The Boss unataka story yote?ok haina shida?najua kuna wengine watajifunza kupitia mimi!wazazi wangu hawakujua mapea kuna niko preg,since nilikuwa mnene kidogo toka zamani.hata walimu pia hawakujua mpka namaliza mtihani form 4.walikuja kugundua wen i was 6 months along,baba yangu alikuwa mbogo kweli kweli!mzee wa kiafrika kwisha kazi!dah.pale ndani ilikuwa patashika utafkiri kila mtu alibeba lile tumbo,at the end of the day akatulia akaanza process za kutafuta mhusika,huko nako kukachimbika tena!since nilifanya kitu cha ajabu kidogo!mimi na bf tulipojua tumeshamess na kwa kumjua mzee wangu alivyo niliandika barua ya kumkana bf kuwa hahusiki na ile mimba ,the idea was maisha ya hm kwao yalikuwa ya chin sana na nilijua babangu atahakikisha hamalizi shule,mimi sikuwa na hofu since nilijua atakasirika lakini shule ningesoma tu kidogo hom hali ilikuwa nafuu.basi ile anarudi nyumbani na ile barua yangu ya kumnusuru bf akaniita akaniambia najua kuna siku maneno haya yatakurudia !hakusema kitu kingine tena zaidi ya kuendelea kunihudumia plus kunipeleka yeye mwenye clinic,by tht time majibu ya form4 yakatoka nikawa nimepata div 3,so akanifanyia mpango wizarani ili nijoin after a year,hakuniambia kuwa nitaendelea kusoma wala nini!Huo mwaka mahousegirl wote waliondolewa.nilikuwa nalazimika kuhudumuia kuku,ng'ombe,na kazi za nyumbani bila kusahau mtoto.baba yangu alikuwa busy na mjukuu na maendeleo yake bila waswasi lakini mimi na swala la shule halikuwa ni mada mtambuka kwa upande wangu.niliumia sana na sikuwa na jinsi ya kumuuliza inakuwaje!mtoto wangu alipofikisha miezi kama 10 hivi,mahousegirl wakaletwa tena na mi nikahamishwa pale home nikaenda mkoani,kufika huko naambiwa nianze kusoma soma masomo ya a level.baada ya miezi miwili nikaambiwa nirudi dar.kufika nakabidhiwa trunker na joining instruction ya shule,plus nauli nimekatiwa tiketi ya basi kuwa natakiwa kuondoka KESHO ASUBUHI! kwenda shuleni!
 
Very very interesting
and touching
thanx..
 
The Boss,i don't know if your thread was about me or may be was just a coincidence but what i can say it is about life and experience that goes with it.About ten years ago wakati nafikiria habari za kuoa nilikuwa na kaka wa rafiki yangu katika mazungumzo tu akawa anatoa experience ya rafikiake kwamba alioa kutoka kwenye familia ambayo baba na mama walikuwa wameachana by then ndoa zilikuwa sio kama generation yetu hii yaani ndoa kuvunjika ni kama fashion.

Huyo rafiki wa kaka wa rafikiangu ndoa yake haikuchukua hata miaka mitatu ikawa imevunjika na katika regrets zake alisema kwamba hawezi kumshauri mtu kwenda kuoa kwenye familia kama hiyo. That was then,baada ya kuongea na kaka wa rafiki yangu hiyo issue ilipita miaka kadha,sasa wakati natafuta my ideal woman nilikuwa na my high school sweatheart lakini maongezi ya kaka wa rafikiangu yalikuwa yanakuja mara kwa mara kwani huyu my high school sweetheart wazazi wake tulikuwa tunaishi kitongoji kimoja waliachana katika mazingira ya kusikitisha kwamba mama aliamua kumpokea yesu, lakini to the extreme yaani hata comitment za familia kama mama akaziacha,baba akamuuliza simple question kwamba either ndoa au ulokole.

Mama alichagua yesu na akaondoka nyumbani japo baadae alitaka kurudi,anyway niachie hapo upande ule.Sasa mimi hayo maneno yale ya kaka wa rafikiangu japo yaliniumiza kichwa lakini hatimaye nilijipa moyo kwamba was isolated incident.Nikaoa my high school sweetheart,ten years later with two kids,my wife left me sadly living with a guy used to be our driver.It is not fiction guys,it my true life's experience

Pole sana lakini mimi bado naamini hii ni coincidence tu. Sikatai kuwa kuna mambo huwa yanaweza kuwa kama tabia katika familia fulani, lakini ukiangalia mazingira ya haya matukio mawili (Yaani tukio la mkeo na lile la mama mkwe wako) utaona kuwa yana tofauti kubwa sana.
 
Back
Top Bottom