Ushauri: Anataka nimjengee nyumba ila sina uwezo, nimepanga kujiua kabisa

Bora ujiue tu,kama hata nyumba huwezi kumjengea.
13.jpg
 
Mwanamke mwenye akili huwa anaomba kitu kwa mpenz wake kwa kuangalia uwezo, hadhi na uwezo wa mpenz wake!

Haina haja ya kujiua kisa amekwambia umjengee! We usijal msahau kama ulivyokuwa humjui pind hamjakutana!

Endeleza maisha yako na jali familia yako. Usijiendekeze kwa vitu vidogo tuu hivyo! Mwambe aende wapo zaid yake!
 
Unajiua huku unajiselfie acha kutishia nyau, katafute hela huko umjengee aaalah!!!
 
Maamuzi unayo tena unaomba ushauli,,Kuna wanawAke wengi labda hutaki kujishughulisha but wapo wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom