Ushauri: Anataka nimjengee nyumba ila sina uwezo, nimepanga kujiua kabisa

Mzee tuma location unayoish nihuzurie wali maharage kwenye mazish yako
 
Andika wosia kabisa kuwa msiba ukae wiki nzima, na wahudhuriaji wotw tule kwa siku zote hizo!! Lasivyo maiti yako itagoma kuzikwa!! Ili tubane bajeti. Kitonga kama kawa!!
 
Nenda na simu yako ukifika huko fanya kurekodi yote then njoo ulete mrejesho kama kweli moto upo au lah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom