Usanii wamponza Mnyika - Uhuru

Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.

Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.

Huu uzuzu umewashika kweli watu saiv hapa mjini...
Mtu anaweza kufikiri ni media ya maana kweli...
 
Kama alipondwa na mayai viza, basi ni mpango ulioandaliwa na chama tawala ili kueneza propaganda zao.
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ

Hapo umetaka mzizi wa tetesi,ingekuwa poa viongozi wangekuwa wanajibu kero za wananchi namna hii,kuliko kukiwa na mgogoro tu wanakimbilia nje ya nchi.
 
.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

Reply Report Post
Rweza 10:12 Today
Asante sana JJ kwa kujitokeza na kusema ukweli la sivyo watu wasiopenda mema yako wangepata nafasi ya kutoa ushuzi wao hapa. Nafurahi sana kwamba magamba wanaweza kuwatumia vijana wenye upeo mdogo kuandika na kuzushia watu. Juzi niliona kipindi ya Malumbano ya hoja kwenye TV moja, nilicheka sana kuona vijana wa magamba wanapinga na kupambana na harakati zinzoendeshwa na wanaharakati hapa nchi katika kupinga vitendo viovu vya polisi. Tuwape muda vijana kama hawa wenye mtazamo finyu siku moja watakuja jua namna wanavyotumiwa kwa maslahi ya wanamagamba.

Reply Report Post
Edward Teller 10:14 Today
kuna mtu ambaye hajakamilisha ahad zake kama jk?
huyo afanywaje?

Reply Report Post
BUBERWA D. 10:15 Today
By john mnyika:
umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
jj
ndugu mnyika! Kwanza nimesikitika sana leo asubuhi kusikia hilo nikawa natafuta namna ya kulijua vema. Gazeti ni uhuru. Linataja kuwa ulikuwa mburahati. Licha ya kujua uhuru linaegemea wapi, ni vema kuliweka vizuri hilo swala.

Reply Report Post
Jembe Ulaya 10:19 Today
Inashangaza Mnyika mwenyewe hayupo Dar sasa hayo mayai wameyarushaje mpaka yakamfikia au nikupitia DHL???

Reply Report Post
Page 1 of 4 1 23 ... Last
 
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mme wa mu sumu bana, kweli kuna watu wana vituko JF na ID zao.
 
Mbona JK hawajampiga mayai viza! Wanafiki. tazama chini hapo:

AHADI ZA CCM UCHAGUZI MKUU 2010

Ninyi watoto wa nyoka acheni kumwaga sumu humu. Mmezewea majungu kama wazazi wenu. Kila kukicha huyu hivi yule vipi. fitna na majungu hamna issue? Haya pelekeni list hii hapa chini kwa hao waliowatuma maana wamejisahau ni nini waliahidi na wajibu wao ni upi.

1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
.........................
10 ....................
.........................
20 ....................
.........................
30 ....................
.........................
40 ....................
........................
50 ....................
........................
60 ....................
........................
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha

Hapa ndio viongozi/Wanasiasa wetu wanapokosea. Wao wanadhani kusema ovyo ndio siasa.
Angalia ahadi 69 kutekelzwa ndani ya kipindi kimoja (miaka mitano), kama si uongo wizi ni kitu gani?
Kwa nini wasiweke vipaumbele na kutekeleza kwa awamu? Kama ingekuwa kila baada ya miaka 5 ya uongozi wa CCM wangekuwa wanatekeleza mambo 6 tu basi kero nyingi zingekuwa hazipo tena, lakini leo viongozi wanaona kutoa ahadi ndio siasa na ndio uongozi.

Wananchi wana haki ya kuuliza na kuhamaki pale ahadi walizopewa hazikutekelezwa, lakini ikiwa Manyika katika muda huu wa miaka miwili anapigwa mayai viza, JK apigwe nini kwani yupo madarakani miaka saba sasa, na anaendeleza siasa za miaka 50 ya chama chake?
 
Mkuu, asante sana kwa taarifa hii. Nimesoma katika blogu yako na kweli umefanya mengi katika jimbo lako na mchango wako katika harakati za kuijenga Tanzania.

Ushauri wangu tu, pengine si wana JF wote wanaaielewa blogu yako, hasa wale wenye maneno maneno. Kwa hivyo, ningekuomba ufanye kama alivyofanya Dada yetu Mpendwa, Marehemu Regia, kuwa na utaratibu wa kuweka ahadi za jimboni kwako hapa na hatua zilizofikia za utekelezaji wenu (kwani najua sio peke yako). Ni wazo tu.

UHURU NA KAZI, DEMOKRASIA NA MAENDELEO!
 
Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.

Wewe Kweli ni 'dagaa,' dah, au una mawenge ya kukoswakoswa na KOKORO?
 
CCM bwana,halafu mbona thread nyingi hapa JF zinawekwa kumlaumu JJ..mbona kuna majimbo mengi tu Dar yanahali mbaya kuliko Ubungo? Nadhani ni mbinu chafu kumuharibia JJ,na kwa kweli watashindwa kwa hili.
 
katika viongozi wa kisiasa wote hapa tz (na pengine East Africa yote).. ni John Mnyika pekee yake ambae anafanya kazi zake kisasa.. anaweka taarifa ya kazi zake katika mtandao.. akiorodhesha kero na jinsi ya utatuzi wa matatizo yanayolikabili jimbo lake na tz kwa jumla..! najua hili linawakera wengi ambao kwao uongozi umepotea njia.. so watajaribu kila wawezalo kum-discredit John.. Naomba wale wote wenye mapenzi mema na nchi hii waendelee kumlinda John dhidi ya hawa wasio na vision.. Peke yake hataweza bila ya msaada toka kwe2 maana hawa ni watu ambao wako tayari kuwaua hata wazazi wao..
 
Wana JF magezeti ya leo asubuhi kupitia Clouds FM yameripoti Mbunge wa Ubungo apondwa mayai viza kisa hajawaletea maendeleo.Wabunge wanapswa kutekeleza ahadi zao kwa matendo na sio kwa maneno.

Huyu Kijana mpambanaji anahitaji ushauri wa kulinda polical performance yake.
Ona sasa kumbe redio yenyewe Clouds, na gazeti ni Uhuru, CCM Hovyooo, hao wote wanamtumikia tajiri yuleyule. Angalia na wewe mtoa mada usije kuwa gamba.
 
Tatizo la watanzania ni wazuri kulalamika halafu tunasubiri hayo matatizo yajitatue yenyewe au wafadhili watutatulie hayo matatizo yetu. Kwa kifupi hizo ni ndoto za akina Abunuwasi.. Huyu Kijana Mnyika ni mchapa kazi na ni hodari wa kuthubutu... binafsi namheshimu sana na inabidi tumpe support zetu ili asikate tamaa. Ikibidi tumsaidie kwa hali na mali ili ahadi zake ziweze kutimizika... kwa kufanya hivyo atawatia moyo hata wale ambao wamekata tamaa. Kukaa na kulalamika hakuleti tija. Ni sawa na washabiki wa soka la Tanzania wanavyolalamika na akiletwa kocha mpya wa timu ya taifa wanataka kesho yake waanze kushinda na kupata uwakilishi kwenye mashindano makubwa. Hayo hayawezi kutokea bila kuwepo na msingi imara na pia wachezaji wenyewe kuwa na ari ya kujituma kama wale vijana wa Sata -- Cobra (Zambia walivyofanya kule Gabon.). Mbunge Mnyika ni mchapa kazi na anajitahidi kuweka misingi ya maendeleo. Wananchi wa ubungo inabidi waungane naye na wasaidiane bega kwa bega.. na pia watoe michango yao ya khali na mali kuleta maendeleo jimboni kwao wakishirikiana na mbunge wao ambaye anaamini kwamba maendeleo yanawezekana. Biashara ya kupiga domo na kutaka kumpiga mayai mabovu haileti tija. Niwaulize, Wangekuwa na Mbunge wa Bariadi leo wangekuwa na maendeleo au wakihamashishwa kuchangia maendeleo yao watamuamini huyo au wale wazee wa EPA au watamuamini Mnyika katika kusimamia haki na hela yao kwa maendeleo yao???
 
VITENDO vya wafuasi wa CHADEMA kuwapopoa kwa mawe na kuwazomea viongozi wa serikali na wale wa CCM, sasa vimeanza kuwageukia viongozi wa chama hicho.
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya wananchi na wapiga kura wa jimbo la ubungo, Dar es salaam kumpopoa kwa mayai viza mbunge wa jimbo hilo, John Mnyika
Mnyika alikuwa na ratiba ya kufungua mashina kwenye kata ya Mburahati na kusikiliza kero za wananchi...
Source: Uhuru
 
wala uc ulize ilo nigamba.lina shindwa kutambua kua mnyika awezi tekeleza ahadi kwa pesa za mfuko wake,serekali yenyewe imechoka,pesa za bajeti azifiki alimashauri kwa wakati.aache umbumbu uyo gamba,Mnyika ni jembe cmpini.
 
Hi thread imeshajibiwa na mnyika mwenyewe humu jamvini mchana,naona umeamua kuirudisha tena na chanzo chake cha gazeti la chama cha CCM uhuru,habari hizo ni uongo mtupu na Mh mnyika ameshakanusha humu jamvini! Haya nenda ofisi za CCM ukachukue posho baada ya kumaliza kazi uliyotumwa na masaburi wako Nape.
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ

Bwana Joni hiyo ndio siasa sampuli mpya waliotuzoesha vinega wenzako wa chama chenu hicho cha vinega humu;siasa hii sampuli hii hufanyiwa pia Nape,hivyo huna haja ya kuwa na jazba,kufanya kazi ya siasa sampuli hii waliotuletea hawa vinega wa chadema kata humu unatakiwa kuwa na ngozi ngumu kidogo,changamoto kwako sasa kwa kutumia kitengo chako cha uenezi ungejaribu kueneza siasa za propaganda nyeupe miongoni mwa washabiki wa chama chenu humu ili wawe chanzo cha mabadiliko na u.j.i.n.g.a. wa kumuandama Nape kwa siasa sampuli hii.Anza sasa.
 
Back
Top Bottom