Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Kumbe hili gazeti lina wasomaji pia! Kweli hakuna gazeti litakalowachwa kusomwa!NI bora kukaa bila kusoma habari kuliko kusoma gazeti la uhuru
Kumbe hili gazeti lina wasomaji pia! Kweli hakuna gazeti litakalowachwa kusomwa!NI bora kukaa bila kusoma habari kuliko kusoma gazeti la uhuru
John,Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
Asante, ingia tu hapa: JOHN MNYIKA, utapata update ya hatua kwa hatua. Kwa sasa niko katikati ya kazi, nitarejea kujibu swali kwa swali kwa yoyote atayependa kufahamu zaidi, mimi naamini zaidi kwamba matendo yanapaswa kuzungumza yenyewe kuliko maneno. Hivyo, wananchi wenyewe ndio wanapaswa kulinganisha kati ya mbunge wa sasa wa Ubungo na wabunge waliopita wa Jimbo hili, katika kipindi cha mwaka mmoja ambao nimekuwa kwenye utumishi. Aliyekuwepo kwenye Mkutano huo unaotajwa wa Mburahati aje hapa aeleze, siku hiyo nilieleza wazi wananchi kwamba sitahutubia, bali ni kuelezana tu hatua iliyofikiwa katika kila jambo walilonituma, na nilieleza na wananchi walieleza wazi kwenye mkutano huo wa hadhara kuridhika na utumishi wangu kwao katika kipindi cha mwaka mmoja tofauti na miaka mingi ya waliotangulia. Wakanipa kazi nyingine zaidi za kufuatilia, ikiwa CCM wana hamu sana nirudi Mburahati kwa mara nyingine tena kufanya mkutano mwingine ili idhihirike mimi na wao ni nani wa kupigwa mayai viza, waseme tu nirudi. Lakini, ishara ya wananchi kuridhika ni kwamba walikaa kwenye mkutano huo wa hadhara kuanzia jioni mpaka usiku saa moja giza likiingia. Na pia tulitembea pamoja wa miguu toka Mburahati Barafu, Darajani mpaka Mpakani kwenye mabonde mbalimbali. Na ishara nyingine ya kuridhika ni kwamba badala ya kupungua kwa bendera za CHADEMA siku hiyo wananchi wakaamua kufungua matawi na misingi zaidi ya CHADEMA mbele yangu. Pia, kwenye suala la maji baada ya kueleza hatua ambazo tumechukua niliwaomba waonyooshe mikono wote wanaunga mkono na walifanya hivyo mkutanoni, mkutano wenye mayai viza ungevunjika mara baada ya kuanza badala yake kwa mwamko wa wananchi siku hiyo nilihutubia mpaka usiku kinyume cha sheria.
JJ
Pole sn mkuu kwa usumbufu unaoupata. Sisi kama wapiga kura wako tuna imani sana na wewe. Achana na hizo propaganda bali piga kazi jembe letu. Tayari tumeona juhudi zako ktk kazi yako ya ubunge.Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
Siku hizi uswahilini miguu na vichwa vya kuku ndio mboga ya weekend, yaani familia hapo ndio inahesabu imekula kuku.Kwa namna gharama za maisha zilivyo juu, sidhani kama kuna anayeweza kutupa mayai hata kama ni viza!
Ni uzushi tu.
kuna mtu ambaye hajakamilisha ahad zake kama jk?
huyo afanywaje?
Hili ndilo nilikuwa nalitaka. Kumbe kuna wakati unakuwa muungwana? Kama gazeti limezusha alipeleke tu kwa pilato yaani baraza la habari ili likemewe na kutakiwa kumuomba radhi.Mkuu unaweza lishtaki hilo gazeti la Uhuru kwa kukuchafulia jina?
Hapo umesema vyema. Nadhani umemsaidia pia Mkuu Hugo Chaves. Nadhani pia kama alivyosema Fidel80 ni vyema Mnyika akalishitaki hili gazeti ili iwe fundisho kwake na magazeti mengine yenye tabia kama hiyo! Hiki ni chombo cha habari pamoja na kwamba kinamilikiwa na CCM hivyo hiyo jabari kuna kundi kubwa litaiamini kama haitakanushwa na gazeti lenyewe.Jimbo la Ubungo Nepi bado analihitaji na analitolea udenda sana. Magazeti ya uhuru na mzalendo lipo chini ya idara ya uenezi ya CCM inayoongozwa na Nepi.
Just connect the dots utaelewa maana yake..
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
hapa gazeti limetumika kwa maslahi binafsi,na ninadhani ni Nape bado anaimezea mate Ubungo!kweli kamanda wetu huyu jamaa katumwa na mag.amba kuja kukuchafua ila laiti tungemjua tungemkata sikio moja