Usanii wamponza Mnyika - Uhuru

Wanaosema kwamba Mnyika hajaleta maji Ubungo hawajui kazi za mbunge. Kwa ufupi kazi ya mbunge ni kuibana Serikali iliyoko madarakani ili itimize sera zake. Sasa kama CCM wameshindwa kutimiza ahadi zao za baba Mwanaasha wanauhalali gani wa kuendelea kuwepo?au tunasubiri ahadi mpya za kasi mpya mwaka 2015.
 
Mnyika komaa katika wabunge wachapakaz wewe umo sanatu magamba wanahofia mpaka wanatangaza kuto gombea maana wanajua hawato pata,hua nakukubali sana mnyika kwa kutokea media na kukanusha umasaburi wa magamba,hawaishiwagi fitina ukiyacheki mading mazimaa sura mbayaa ubongo kopo tu,komaa nao wamechoka wanajisukuma 2
 
umefanya vizuri kujitokeza na kujibu huo uzushi lakini bwana Mnyika nakushauri uchukulie kama challenge huo uzushi coz hata mimi ni mkazi wa jimbo hilo(Sinza),i know what people think right now na fikira zao zinaelekea wapi kwa upande wa mbunge wao na diwani wao,its better ujaribu kufikiri mara mbili kuwaplease wananchi wako coz wanategemea mengi kutoka kwako isije ikawa ya JK na wananchi wa Tanzania
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ

Very good Hon. J Mnyika, don't let these loons deter your efforts. Keep on fighting, hawa naona wametumwa na magamba, unawabana hadi sasa wanaweweseka.
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ
nikiona tu mtu mwenye kombati ya kaki yaani roho yangu yooote inakuwa mwemweleeeeeeeeeee,mwemweleeeeeeeeeee
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.

Wanadai hujawpelekea maendeleo

Ukiweka hapa rekodi sawa; so far realization ya ahadi ipo katika level gani? Hili litakuweka pazuri zaid katika fikra na maamuzi ya watu. Sio wote ni wapiga kura wa jimbo hilo but we know unaweza kuwa icon nzuri kuwa vijana tunaweza

Update records as soon as possible kuondoa utata na uzushi.....acha mambo yajiendeshe just establish the system na hutakuwa na haja ya kurudi humu kujibu habari kama hizi
 
Asante, ingia tu hapa: JOHN MNYIKA, utapata update ya hatua kwa hatua. Kwa sasa niko katikati ya kazi, nitarejea kujibu swali kwa swali kwa yoyote atayependa kufahamu zaidi, mimi naamini zaidi kwamba matendo yanapaswa kuzungumza yenyewe kuliko maneno. Hivyo, wananchi wenyewe ndio wanapaswa kulinganisha kati ya mbunge wa sasa wa Ubungo na wabunge waliopita wa Jimbo hili, katika kipindi cha mwaka mmoja ambao nimekuwa kwenye utumishi. Aliyekuwepo kwenye Mkutano huo unaotajwa wa Mburahati aje hapa aeleze, siku hiyo nilieleza wazi wananchi kwamba sitahutubia, bali ni kuelezana tu hatua iliyofikiwa katika kila jambo walilonituma, na nilieleza na wananchi walieleza wazi kwenye mkutano huo wa hadhara kuridhika na utumishi wangu kwao katika kipindi cha mwaka mmoja tofauti na miaka mingi ya waliotangulia. Wakanipa kazi nyingine zaidi za kufuatilia, ikiwa CCM wana hamu sana nirudi Mburahati kwa mara nyingine tena kufanya mkutano mwingine ili idhihirike mimi na wao ni nani wa kupigwa mayai viza, waseme tu nirudi. Lakini, ishara ya wananchi kuridhika ni kwamba walikaa kwenye mkutano huo wa hadhara kuanzia jioni mpaka usiku saa moja giza likiingia. Na pia tulitembea pamoja wa miguu toka Mburahati Barafu, Darajani mpaka Mpakani kwenye mabonde mbalimbali. Na ishara nyingine ya kuridhika ni kwamba badala ya kupungua kwa bendera za CHADEMA siku hiyo wananchi wakaamua kufungua matawi na misingi zaidi ya CHADEMA mbele yangu. Pia, kwenye suala la maji baada ya kueleza hatua ambazo tumechukua niliwaomba waonyooshe mikono wote wanaunga mkono na walifanya hivyo mkutanoni, mkutano wenye mayai viza ungevunjika mara baada ya kuanza badala yake kwa mwamko wa wananchi siku hiyo nilihutubia mpaka usiku kinyume cha sheria.

JJ
 
Usikate tamaa mnyika tuko pamoja tutashinda tu! Wao waendelee kutumia magazeti yao ya makorokocho sikumbuki kama siku moja ntakuja kununua hayo magazeti,hawajui kupika story kunapunguza wateja.anyway yawezekana wanapata ruzuku serikalini.
 
Mbona JK hawajampiga mayai viza! Wanafiki. tazama chini hapo:

AHADI ZA CCM UCHAGUZI MKUU 2010

Ninyi watoto wa nyoka acheni kumwaga sumu humu. Mmezewea majungu kama wazazi wenu. Kila kukicha huyu hivi yule vipi. fitna na majungu hamna issue? Haya pelekeni list hii hapa chini kwa hao waliowatuma maana wamejisahau ni nini waliahidi na wajibu wao ni upi.

Kwakuwa JK na CCM yake hawajatelekeza ahadi na Chadema nao wasitekeleze???

Kwa kweli huku tunapoelekea kipenda roho hula nyama mbichi.
 
Kwa tabia za wanasiasa hawezi kukubali kupigwa yai viza.Mambo machafu wanasiasa hawayakubali.Ona kuna wengine wanazomewa kwenye mikutano lakini wao wanasema alikuwa anashangiliwa.Siasa kazi kweli kweli Pole mpiganaji Mnyika kwa kubebeshwa zigo la tetesi mbaya.
 
Siasa za Chichiem za maji taka hizo; sawa ni zile propaganda za Te ndwa kwamba washili walimng'ata sikio eti G. Lema asifike Arumeru kwa ajil kampeni uchaguzi mdogo na kwamba akifika watamuua, UZUSHI MTUPU.
 
Umeita tetesi halafu umetoa hitimisho kama vile ni ukweli, hizi sasa ni siasa chafu. Ni vizuri ukaeleza nilipigwa mayai viza lini na wapi? Vyombo vya habari unavyovisema ni vipi na weka hapa habari kamili ijadiliwe. Niko tayari kupokea ushauri, lakini si vyema kuleta uzushi na propaganda nyeusi.
JJ

John wewe piga kazi jimboni kwako,utendaji wako ktk jimbo la ubungo hakuna mtu anaye u doubt labda mtu hasiyetaka kuona wala kusikia!hachana na propaganda za watu wa chama kilichokosa dira zaidi ya kuhalalisha uchuuzi wa rasilimali zetu kwa wageni!shame on them!ni ngumu sana kwa c.c.m kurejesha jimbo la ubungo na kawe mikononi mwao,hiyo kitu wasahau hata 30 years to come,na ni likely majimbo ya Kigamboni,Segerea,Ukonga na Kinondoni C.c.m hawatakua nayo tena 2015,jitihada zinahitajika kuwapa zaidi elimu ya uraia watu wa Temeke na Ilala,mimi nipo Moro kikazi huku naeneza na shule ya uraia kwa vijana wenzangu,muamko kwa Moro tena nje ya mji unatia moyo kwa kweli
 
Kwakuwa JK na CCM yake hawajatelekeza ahadi na Chadema nao wasitekeleze???

Kwa kweli huku tunapoelekea kipenda roho hula nyama mbichi.

unataka mbunge asambaze mabomba kwa hela yake,kazi ya serikali ni ipi na kazi ya mbunge ni ipi? Mbona hatutofautishi majukumu ya mbunge na majukumu ya serikali? Ndo maana wabunge kila siku wanaamkia posho aafu tunaanza kupiga kelele. Kama serikali ya wahuni haitaki kuhudumia wananchi wake unadhani mbunge ni taasisi ya kufanya kazi badala ya hilo genge la majambazi? Kwani mbunge ndo anapokea na kukusanya kodi za mapato? Tuwalaumu wabunge wakishindwa kutekeleza majukumu yao ya kuibana serikali iwatimizie wananchi kile kinachotakiwa.
 
Mkuu Mnyika asante kwa ufafanuzi mzuri Nape anatakiwa ajifunze mambo mengi toka kwako.

Asante, ingia tu hapa: JOHN MNYIKA, utapata update ya hatua kwa hatua. Kwa sasa niko katikati ya kazi, nitarejea kujibu swali kwa swali kwa yoyote atayependa kufahamu zaidi, mimi naamini zaidi kwamba matendo yanapaswa kuzungumza yenyewe kuliko maneno. Hivyo, wananchi wenyewe ndio wanapaswa kulinganisha kati ya mbunge wa sasa wa Ubungo na wabunge waliopita wa Jimbo hili, katika kipindi cha mwaka mmoja ambao nimekuwa kwenye utumishi. Aliyekuwepo kwenye Mkutano huo unaotajwa wa Mburahati aje hapa aeleze, siku hiyo nilieleza wazi wananchi kwamba sitahutubia, bali ni kuelezana tu hatua iliyofikiwa katika kila jambo walilonituma, na nilieleza na wananchi walieleza wazi kwenye mkutano huo wa hadhara kuridhika na utumishi wangu kwao katika kipindi cha mwaka mmoja tofauti na miaka mingi ya waliotangulia. Wakanipa kazi nyingine zaidi za kufuatilia, ikiwa CCM wana hamu sana nirudi Mburahati kwa mara nyingine tena kufanya mkutano mwingine ili idhihirike mimi na wao ni nani wa kupigwa mayai viza, waseme tu nirudi. Lakini, ishara ya wananchi kuridhika ni kwamba walikaa kwenye mkutano huo wa hadhara kuanzia jioni mpaka usiku saa moja giza likiingia. Na pia tulitembea pamoja wa miguu toka Mburahati Barafu, Darajani mpaka Mpakani kwenye mabonde mbalimbali. Na ishara nyingine ya kuridhika ni kwamba badala ya kupungua kwa bendera za CHADEMA siku hiyo wananchi wakaamua kufungua matawi na misingi zaidi ya CHADEMA mbele yangu. Pia, kwenye suala la maji baada ya kueleza hatua ambazo tumechukua niliwaomba waonyooshe mikono wote wanaunga mkono na walifanya hivyo mkutanoni, mkutano wenye mayai viza ungevunjika mara baada ya kuanza badala yake kwa mwamko wa wananchi siku hiyo nilihutubia mpaka usiku kinyume cha sheria.

JJ
 
Ccm ni wapumbavu,uwezo wao wa kufikiri umeshapotea kabisa na kwenda mrama,tayari ccm wote wameshachanganyikiwa
 
Naona watu wa ccm wote wameshaiga uvuvuzela kutoka kwa nape.ccm fani ya siasa imewashinda basi kama imewashinda amieni kwenye utunzi wa vitabu mtatoka tu.
 
Kuna siku nilisema John Mnyika personlity yake ni kama Julius Kambarage Nyerere.Kwa wakati ule sikuwahi kuona mazingira ambayo yangeweza kufanya nyerere adhalilike. Hata wakoloni walimkubali. Na Kwa Mnyika sioni namna yoyote ya kudhalilika kwa Mnyika. Labda kuna Mnyika mwingine ambaye alipigwa kwa mayai viza, sio huyu mbunge wa Ubungo. Tafuta kitu cha kuibua fikra nzito kwa maana ya great thinking (Great Thinkers) na ulete hapa.
 
Back
Top Bottom