''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

Hehehehe.... Nimetembea dunia nzima nlikuwa nawaona wasichana tu, mpaka nilipokutana na wewe ndo nikajua nini maana ya mrembo............. hii unawaambia mademu wote unaowatongoza.

Nikajua volcano tu ndio zinalipuka, looh! kumbe hata mioyo inalipuka? yaani nikikuona tu moyo unakwenda kasi kuliko danedane za ronaldo.
Khaaaa! hawa jinsia ya upinzani inabidi wapunguze uongo bana
 
Hahahaha.......wizi n'tupu!..... Eti mpenzi we u-mzuri, tangu nizaliwe sijawahi kuona mwanamme mzuri kama wewe. (Hapo ni baada ya kumkatia mkwanja)
 
Kuna mwengine anataka hela ya vocha anajifanya kukusimamisha halaf anaanza.

Jamaani! yaani wewe kijana umefanana na lonado di kaprio, khaaa! (wakati mzembe ukijiangalia kwenye kioo unajiona kabisa kwamba umefanana na Kibaki)
 
teh honey nguo zako nzuri hapo umepiga pamba kaa mpuliza tarumbeta
 
Bahari ingekuwa wino
Mbingu ziwe karatasi
Miti yote iwe kalamu
Kila mtu duniani awe mwandishi
Kuandika upendo wangu kwako
Wino ungekwisha swit baby
Yani mm hapahapa tayari umefanikiwa kunisoundisha! duh! kweli wizi mtupu! nipm bac umalize kabisa
 
Hahahaha mfalme wa amani back to the line! Aisee jombaa niaje?
Bora nimepata pa kuchekea saa hii lol
 
Usiku wa jana sijafumba macho nakuwaza wewe tu, teh teh teh kumbe uliamshwa kwa kumwagiwa maji na maza.
 
baby sijawai kumvulia mwanaume yeyote nguo hivi.ni vile nilibakwa tu na binamu yangu akanitoa bikra
hapo una msururu dar -moro
 
Hahahaha.......wizi n'tupu!..... Eti mpenzi we u-mzuri, tangu nizaliwe sijawahi kuona mwanamme mzuri kama wewe. (Hapo ni baada ya kumkatia mkwanja)

Kuna hii moja niliifuma gengeni uswahilini kitambo kidogo.

Kidume: bebii mimi naomba nikufe kabla yako tu kwasababu sitoweza kuishi bila wewe.
Kijike: sweetcake! Mi staki bwana, bora nikufe mimi mwanzo manake hata sjui maisha yatakuwa na thamani gani bila wewe

Mwisho wa kuwanukuu.

unajua uswahilini tena, Baada ya dakika kadhaa akaibuka mbwa koko anakimbizwa na waswahili. Sasa wale wapendanao ile ishu wakaistukizia tu, lahaula skujua kama tanzania tuna wanariadha wazuri kiasi kile aisee, halaf kila mmoja alichukua chochoro yake
 
Kiongozi hahaha chezea kifo wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom