''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

je nakupenda kama pilau

ahahahahahah!....alaf tulikuwa tunakubali tu...

watu tumepiga sana simu kwenye call boxi za ttcl enzi izo...!and tell you what...''it never worked out''
 
Mkuu yaani mi najua ukiitwa babe au swrii jua kuna kamzinga kanakuja

HAHAHAHAH...!

klorokwini umeniacha hoi.......!

mjomba kimey watu wanasave jina lako ''voucher dar''

hahahahaha!

mwingine anakusave jina ''papaa mchemsho''

hahahahahah!...

ngoja nikacheke zaidi

umenipa akili kuna lizee lipo floor ya kumi na moja hapo linanukia noti za epa linanisumbua daily ngoja nikawhisper kidogo nitoke na kibajaji

hehehe kumekucha, hii nimeipokea sasa ivi naweza nikaiita breaking nyuz.

twii twii message imeingia.

"Mupenzi, mimi bila wewe ni sawa na e mail bila paswedi" .
Dah! acheni nilog out tu wakuu
bakini salama.
 
ahahahahahah!....alaf tulikuwa tunakubali tu...

watu tumepiga sana simu kwenye call boxi za ttcl enzi izo...!and tell you what...''it never worked out''

Hahahha mzazi umenikumbusha mambo ya call box yaani kuna call box moja iliwekwa pale bamaga ilimeza sana tusent twangu na tell you what niliishia kunawa tu lol
 
hehehe kumekucha, hii nimeipokea sasa ivi naweza nikaiita breaking nyuz.

Twii twii message imeingia.

"mupenzi, mimi bila wewe ni sawa na e mail bila paswedi" .
Dah! Acheni nilog out tu wakuu
bakini salama.
teh wewe ni psw kwenye maisha yangu ukiondoka maisha yanablock forever siwezi kuishi bila wewe
 
hehehe kumekucha, hii nimeipokea sasa ivi naweza nikaiita breaking nyuz.

twii twii message imeingia.

"Mupenzi, mimi bila wewe ni sawa na e mail bila paswedi" .
Dah! acheni nilog out tu wakuu
bakini salama.

hahahahahahahahahahah!....

kolokwin utaniua mbavu mjomba....!

hahahahah!....''just in news''
 
Hahahha mzazi umenikumbusha mambo ya call box yaani kuna call box moja iliwekwa pale bamaga ilimeza sana tusent twangu na tell you what niliishia kunawa tu lol

hahahahah!.....

naona wewe na mimi ''tulihuzunika pamoja''....''tukateseka pamoja'' na hivi sasa ''tunacheka pamoja''
 
hahahah!...

naona smile hizi sanaa unazifanya sana....

maanake unaenda mule mule...!
 
mimi nimetulia sana mkuu sana tu niombe radhi
naona umeseto mkuu....!
hata signecha inaongea,na muda ukifika nitakuuliza unidokeze yanayojiri humu jf:Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu
 
Komaa kabisa kaka,

ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kuchezea chezea!

Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!

Beach 007 Jamse Bond pant.jpg
 
Kulaleki dah hiyo ya nakupenda kama mchuzi wa jogoo
Nimecheka mbaya ha ha ha ha ha ha
kweli mapenzi sanaa
 
Komaa kabisa kaka,

ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kucehezea chezea!

Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!

daaaaaaaah!......

baba ubaya hapo ulijipangeje sasa mpwa?
 
Komaa kabisa kaka,

ukija kwangu siku nyingine uje umevaa la kupanda (kiatu), jaketi na suruali nguo zilikuwa na (zipu nyingiiiii) kama la Michael Jackson, mi sio wa kucehezea chezea!

Nilijibiwa hivo wakati namtokea mtoto mmoja Mkali wa kitaani!

Nakuimagine na suruali za zipu zipu ha ha ha uliendelea kuvaa au ulisepa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom