''USANII'' na WAPENZI WETU/WAKO...tukumbushane!

Kiongozi hahaha chezea kifo wewe?
Kamanda,Nakumbuka iliwahi kuletwa mada hapa long time eti kama kuna mamba anataka kuuwa na una uwezo wa kuokoa mtoto au mwenza wako na sio wote, je utamuokoa nani?
Mimi nilijibu kiuwazi kabisa kwamba siokoi mtoto wala waifu naingia mitini pekeangu. Chezea kifo wewe
 
Kamanda,Nakumbuka iliwahi kuletwa mada hapa long time eti kama kuna mamba anataka kuuwa na una uwezo wa kuokoa mtoto au mwenza wako na sio wote, je utamuokoa nani?
Mimi nilijibu kiuwazi kabisa kwamba siokoi mtoto wala waifu naingia mitini pekeangu. Chezea kifo wewe
Hahaahah acha tu kiongozi, mi ndo maana huwa nawageuzia kibao tu! Wizi wizi ujanja ujanja tu
 
Yupo mdada mmoja alikuwa na staili akitaka kukupiga mzinga anakuja kukushika bega halaf anakuwhisper kwenye sikio na kuling'ata kidogo...... hehehe alinifilisi sana yule dada, popote alipo na yeye namuombea kufilisika. Dah!
Mkuu yaani mi najua ukiitwa babe au swrii jua kuna kamzinga kanakuja
 
HAHAHAHAH...!

klorokwini umeniacha hoi.......!

mjomba kimey watu wanasave jina lako ''voucher dar''

hahahahaha!

mwingine anakusave jina ''papaa mchemsho''

hahahahahah!...

ngoja nikacheke zaidi
 
yupo mdada mmoja alikuwa na staili akitaka kukupiga mzinga anakuja kukushika bega halaf anakuwhisper kwenye sikio na kuling'ata kidogo...... Hehehe alinifilisi sana yule dada, popote alipo na yeye namuombea kufilisika. Dah!
umenipa akili kuna lizee lipo floor ya kumi na moja hapo linanukia noti za epa linanisumbua daily ngoja nikawhisper kidogo nitoke na kibajaji
 
enzi zandu tosamaganga nlipewa hii na mtoto wa iringa girls (zoo) barua imejaa then ujumbe= nakupenda kama mchuzi wa jogoo. weashikaji walinicheka mwezi mzima
 
hahhahahahahahahaaaaaaaaaa...!

nakupenda kama mchuzi wa jogoo...!

kudaaadeek:wink2::wink2:
 
enzi zandu tosamaganga nlipewa hii na mtoto wa iringa girls (zoo) barua imejaa then ujumbe= nakupenda kama mchuzi wa jogoo. Weashikaji walinicheka mwezi mzima
je nakupenda kama pilau
 
halafu kuna hizi simu siku izi unapigiwa simu swali la kwanza ''UKWAAP?...''

achachachachachaa...mamaaa yaangu...huwa nakatikaje stimu arif!.....''UKWAAP?''....

benchoooooiiiid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom