ur proffessional please!

We naweeee umbea tu lol hupitwi?
Khaaaaa King'asti mbona unantisha? Wivu au? We si ulileta mapozi wacha mwenzio ajirambe meeeeen!

Nna diploma ya umbea babu eeh, unikome. Na nna mpango wa kufanya masters pia pale magogoni, uwt wananifadhili.
na ujue sionji asali kwa ncha ya kisu mie. Unitue!
 
Iam a teacher!

are you still teaching? As for me,from the day the government dismissed our claims i made a slight change to my career, i switched from teaching to cheating,and i discovered it aint that much different you know!
 
are you still teaching? As for me,from the day the government dismissed our claims i made a slight change to my career, i switched from teaching to cheating,and i discovered it aint that much different you know!

So that makes the two of you Baba V na Kipipi naona wote waalimu. Maadam Baba V mkeo alichelewa jana hebu mkae na Kipipi kulijadili hili
 
Last edited by a moderator:
Kutana na Madame B hapa,
Nakodishwa kwenye Kusuta Wanawake na Wanaume Wambea,
Bei inategemea na aina ya usutaji.
Karibuni wateja.

We bila shaka utakua kama sio Mzaramo basi M.kwere, maana hao watu wakimkamata kibaka wala huwa hawampigi, watamuweka mtu kati na kuanza kumsuta mpaka analia...
 
Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana

huyu wa wapi jamani....
yaan sijui nimchambeje...
au nimpige singi ili akome...
au nimpe ule msonyo mrefuu...
hata ukichukia vidonge ushavinywa...halohalooooo!
 
kutana na madame b hapa,
nakodishwa kwenye kusuta wanawake na wanaume wambea,
bei inategemea na aina ya usutaji.
Karibuni wateja.

yfu hapo umeni7bisha nikapata aibu kwani niko kwa shoe shiner nimecheeka saaana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom