ur proffessional please!

yote nasuka, hata kilimanjaro, jicho la mke mweza. pia nasokota kama zile za kimasai.

japo sikuamaini ila hebu nikumbushe kwanza, bado ofisi yako ipo pale liberty ama umehamia makoroboi? kama ukiweza kufika pale ngokos karibu na dampo huwa mnapaita nyota ya warembo naweza kukagua kazi zako kama utafaa kumpokea my waifu wangu.... otherwise ataendelea kuhudumiwa pale pale
 
nani huyo? Erickb52 yule dalali wa pale stendi kuu? au yule mwandishi wa hadithi Mtambuzi? au unamuongelea yule kijana ambaye ilimchukua miaka sita kupata ka degree kake ka sosholoji akajiita mtoto six? au unamuulizia yupi?

mh! Hapa umedanganya, mtoto six ni hacker ktk mitandao na sio msosholojia! Kha!
 
Last edited by a moderator:
japo sikuamaini ila hebu nikumbushe kwanza, bado ofisi yako ipo pale liberty ama umehamia makoroboi? kama ukiweza kufika pale ngokos karibu na dampo huwa mnapaita nyota ya warembo naweza kukagua kazi zako kama utafaa kumpokea my waifu wangu.... otherwise ataendelea kuhudumiwa pale pale

no siku hizi nimehamia perfect salon Lwempisi House nyerere road!
 
mh! Hapa umedanganya, mtoto six ni hacker ktk mitandao na sio msosholojia! Kha!

si alikuwa anapenda ku hack kuliko kusoma na hiyo sosholojia huwa analalamika alialazimishwa na baba yake, ndio maana akachukua miaka sita!!
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom