ur proffessional please!

Hizi inabidi atumie yale malori ya samsung kuzibeba kwa coins! Kha!

Afu usikute ile binduki yangu wewe ndo uliiba mie nakomaa na Kongosho na ki-Nyani Ngabu bure! Utapata dhambi za bonus!

Mbona ile yako ni kama sample tu ya mzigo wa kontena nilionao.......in-fact ni kweli vijana wangu niliwatuma waje wachukue nikidhani ni brand mpya, matokeo yake nimempa mtoto wangu achezee!!
 
weee, hivi siku zote unadhani ni mie niliiba gobole lako??

Nina bastola ya kisasa sana inekuwa programmed kwenye kidole changu cha kati kinatoa risasi nikikasirika.

Hizi inabidi atumie yale malori ya samsung kuzibeba kwa coins! Kha!

Afu usikute ile binduki yangu wewe ndo uliiba mie nakomaa na Kongosho na ki-Nyani Ngabu bure! Utapata dhambi za bonus!
 
charminglady we niPM tuu jina lake nafanza mamvo yangu huku then utaona matunda yake then nitakuambia namna ya kutuma pesa ukishafanikiwa maana huku porini niliko hakuna cha mpesa wala tigo pesa wala nini
platozoom nina mpango wa kukiangamiza kijiji fulani hapa wamenichukulia utaalam wangu wa dawa. Naweza pata bomu la kuangamiza kijiji
@

Hakuna shaka umepata.....ila kwanza nitahitaji kufanya visibility study na upembuzi yakinifu. Nahitaji kujua password ya ATM card yako kwa sababu zina tabia ya ku-attract moto mlipuko utakapotokea! Anyway ni kijiji gani kinahitaji maangamizo?
 
Kongosho we utakuwa useful kwenye msiba wa paka wangu. make nina mpango wa kununua panga kwa platozoom nikam-gheche, nina hasira nae kweli juzi kati aliniibia dagaa wangu akasababisha nikala ugali kwa chumvi! so andaa yale mapambio kama parapanda italia parapanda. . .
 
Last edited by a moderator:
Mi ni katibu uenezi wa mtandao wa jamiiforum mkoa wa dar-es-salaam, wilaya ya temeke, kata ya yombo vituka, tarafa ya lumo, kijiji cha forkland, mtaa wa bondeni la mmasai.
 
The world fortune is approximated 500trilions usa dollars!

Down payment US DOLLAR 2,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,

That figure is worth than all the world fortunes!!

or ulkuwa wamaanisha Zimbabwe dallari??!!
 
Mi ni katibu uenezi wa mtandao wa jamiiforum mkoa wa dar-es-salaam, wilaya ya temeke, kata ya yombo vituka, tarafa ya lumo, kijiji cha forkland, mtaa wa bondeni la mmasai.

we pacha ake na nape nini?
 
Siamini kama nyie ndio Greeat thinkers, mada mmeiona hapo juu ila full kuandika upuuzi... Qu wengi wenu wanafuzi wa sekondari? Mnaiharibu site bna, JF imekua sehemu y matusi, jokes 24/7, hamuwezi mka discuss la maana
 
platozoom toka lini mganga akawa na ATM aise
Mi mshiko wangu naweka kwenye mtungi wa maji hapa hapa porini
Kijiji ni mwendakulima kata ya msindikaji
Dreson4 hii ni chitchat mkuu
Kuna majukwaa ambayo watu wako serious na issue
Ndo maana inaitwa chitchat @
 
Last edited by a moderator:
The world fortune is approximated 500trilions usa dollars!

That figure is worth than all the world fortunes!!

or ulkuwa wamaanisha Zimbabwe dallari??!!

Namaanisha dolari za Obama zenye picha ya Theodor Roseveelt............Tangaza dili tuingie mzigoni muda unaenda na oda ni nyingi.........kwa mfano Asprin kaoda leo machine gun ya kwenda nayo bar
 
Last edited by a moderator:
kwani kila mhusu lazima awe pro..???? duh hii kali, anyway, napita hapa
 
platozoom toka lini mganga akawa na ATM aise
Mi mshiko wangu naweka kwenye mtungi wa maji hapa hapa porini
Kijiji ni mwendakulima kata ya msindikaji
Dreson4 hii ni chitchat mkuu
Kuna majukwaa ambayo watu wako serious na issue
Ndo maana inaitwa chitchat @

Msamehe amepotea njia anafikiri kila kitu inahita seriousness wakati mwingine tunahitaji ku-relax. Kwa mfano at this moment nipo jukwaa la siasa tuna-discuss issues aende huko atatukuta.

Back to the business lete hiyo mitungi........inapofika suala la business sina woga mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom