Kuna ka thread kamenikamata kweli, nashindwa kulala! Hivi hatuwezi kuhairisha sherehe za kutoka ziwe kesho wikiendi? lol
Dah sijui wamepotelea wapi hawa watu?
kuna mwenye taarifa zao?...
umeota mnafanya nini??????
Dah sijui wamepotelea wapi hawa watu?
kuna mwenye taarifa zao?...
Dah!kweli hata mie cjawaona mda sasa,ila habari ya uporoto aulizwe Husninyo anaweza tujuza chochote,!
nimewaona central muda si mrefu,sijui kunani,ngoja nicheck na Husn maana naye nimemwona akiwa na barua ya serikali za mitaa kwa ajili ya dhamana.
Ps: nasikia it is something to do na wizi wa kuku!
aisee
itabidi akija aelezwe usikute na yeye huko alikuota lol
mmeamkaje?
wanakuja sasa hv wasubirini
Eti nini? :shock:Halafu kweli na leo nimemuota klorokwin