Uporoto na klorokwin..........

Hulali mkuu? :)
Uporoto01 kwa kweli sijui... ila deskmate yupo. Alipata matatizo kidogo, but nothing to worry about. Nikimuona nimwambie nini?
 
Hulali mkuu? :)
Uporoto01 kwa kweli sijui... ila deskmate yupo. Alipata matatizo kidogo, but nothing to worry about. Nikimuona nimwambie nini?

ukimuona mwambie 'nitamfukuza kazi'
maana namlipa huku kazi sioni ikifanyika
nahitaji lawyer na yeye ndo lawyer na simuoni..
 
ukimuona mwambie 'nitamfukuza kazi'
maana namlipa huku kazi sioni ikifanyika
nahitaji lawyer na yeye ndo lawyer na simuoni..
Hivi sijawahi kukwambia hata mimi ni lawyer?
Nambie nani anakusumbua, nimfanyie kazi!
Lawyer wako ana kesi ingine imembana kidogo.
 
duh, hiyo ajali ya kloro mbaya sana
nahofia uwezo kutotoa usije ukaharibiwa

uporoto atumie landline inamfaa
Kloroquin alipata complication wakati wa tohara yake anatibiwa India kwa sasa. Uporoto aliibiwa simu yake kipindi cha xmas, mchangieni anunue BB mpya.
 
kwa nini mwali?
Ujue leo ndo unatoka ndani?
Lala sasa hivi, sura itachoka bwana
Kuna ka thread kamenikamata kweli, nashindwa kulala! Hivi hatuwezi kuhairisha sherehe za kutoka ziwe kesho wikiendi? lol
 
Dah!kweli hata mie cjawaona mda sasa,ila habari ya uporoto aulizwe Husninyo anaweza tujuza chochote,huyu klorokwin nae cjui ndio anamtibia tablets mwenzie Asprin!ngoja wenye taarifa waje watujuze!
 
klorokwin ndo anarudi nyumbani toka xmas.mke akamuuliza anadai alichukuliwa na mafuriko.akaulizwa na harufu ya pombe yatoka wapi? akajibu.tena nina bahati mke wangu manake nilikwama kwenye fensi ya breweries,nipe pole mke wangu.
source -asprin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom