Bandari imeuzwa au haijauzwa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
882
4,128
Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world?

Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia?

Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu mapato yanaongezeka?

Wale wabunge waliopitisha azimio mbona hakuna hata mmoja anauliza utekelezaji wake?

Wale viongozi waliosema lazima iuzwe wamepotelea wapi na wanunuzi wao?

Wakina kitenge na safari zao za Dubai mbona wapo kimya? Je walizolipwa zimewaondolea umaskini au bado wanasaka followers wapate magawio ya mtandaoni?

Hongereni wazalendo mliosimama kwa maslahi ya wengi
 
Haijauzwa, ila inaendeshwa na DPW kwa sasa, so tutarajie maendeleo makubwaaaaaa mda si mrefu
Hongera sana mama, endelea kupiga kazi
Tupo nyuma yako
Kazi iendelee
 
Nani anajua tumemaliza vipi hoja ya bandari na DP world?

Mwaka unaisha sasa, je wale waliokuwa wanatudanganya tutashtakiwa wameanza kushawishi DP world watushtaki ili walipwe fidia?

Wale waliokuwa wanawatukana watumishi wa bandari kwamba wameshindwa kazi leo hii mbona wanaendelea kujisifu mapato yanaongezeka?

Wale wabunge waliopitisha azimio mbona hakuna hata mmoja anauliza utekelezaji wake?

Wale viongozi waliosema lazima iuzwe wamepotelea wapi na wanunuzi wao?

Wakina kitenge na safari zao za Dubai mbona wapo kimya? Je walizolipwa zimewaondolea umaskini au bado wanasaka followers wapate magawio ya mtandaoni?

Hongereni wazalendo mliosimama kwa maslahi ya wengi
CCM wamepigwa ganzi hata kuliongelea hawataki. Ukitaka ugomvi na mwanaCCM muulize kuhusu Bandari.
 
TICTS walikaa bandarini miaka 22 na leo bandari imerudi mikononi mwa serikali.

Swissport wapo pale airport tangu 95 mpaka leo, na kiwanja cha ndege bado ni mali ya serikali.

Hakuna anayeweza kuuza mali muhimu sana ya nchi.
 
CCM wamepigwa ganzi hata kuliongelea hawataki. Ukitaka ugomvi na mwanaCCM muulize kuhusu Bandari.
Tatizo letu tunataka kila kitu tukiongelee hata kama uelewa wetu ni mdogo sana. Huwa tunachekesha sana masikioni mwa wenye ufahamu.

Mjinga ni sawa na kipofu haoni kinachoendelea na hawezi kuona aibu kwani hajui kuwa hajui lolote.
 
Haijauzwa, nimepewa bure. Tulibet na Sa100 akaweka bandari zote za Tanganyika mi nikaweka kontena la tende za madina, mkeka wangu ukatiki.
 
Back
Top Bottom