CCM inastahili kupewa za moto bila woga namna hii

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Wamepotelea wapi wenye courage namna hii? Hivi wasanii wa sasa wangekuwa na uwezo wa kuwachapa namna hii sii pengine kila mtu angeamka?

Ila kumbe chuki za raia dhidi ya CCM hazijaanza leo, ona vibe hilo wanaserebuka kwa raha zao.

 
Mikutano ipi hii yakusomba watu kwenye malori na kulazmisha wanafunz wa kata wakaijaze
Hujui maandamano ya chadema watu walisombwa kutoka serengeti, morogoro, na wale wamasai uliwaona? Heche wa Tarime, Lema wa Arusha
 
Kwa hiyo unatarajia chupa ya bia ukiifungua itoke konyagi?
2295a64ffd23c2206b4c1b3a876ad628.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom