Upo mahala gani unapochangia Topic hii....??!

Nimeingia sitting room namalizia marudio ya UEFA kwenye cable Ten Sport ya AbuDhabi ni penalty ya Drogba sijui akikosa jioni hii lile kombe la jana watapewa at Bayern atachukua leo hahahahaaaa!!
 
Nipo ila jf ndio ilinipoteza...nilikumiss nkakutafuta thread fulani hukupatikana tena

oooh pole sana kwa kunitafuta, siku nzima nilikuwa busy na usafi wa hapa na pale sikupata muda wa kupitia thread ..........

Jumapili inaishaje? Huku joto na mgao wa kimya kimya
 
oooh pole sana kwa kunitafuta, siku nzima nilikuwa busy na usafi wa hapa na pale sikupata muda wa kupitia thread ..........

Jumapili inaishaje? Huku joto na mgao wa kimya kimya
Pole....mi niko poa najiandaa kwenda hm tu....sina jipya
 
...hapa nilipo kuna kuta nne...kitanda...kiti...na katv kadogo...na feni ya panga boy...naaaaaa haya mashuka yamendikwa TUZO GUEST HOUSE...nasubiria mzigo wangu uje.
 
nipo kwa shower...OOOPS!!! ayaaaa mchina umeingia maji LOL! (msinichungulie):photo:
 
Naangalia kipindi cha Drs hapa.
Najifunza namna ya kupunguza uzito cuz naona afya yangu inaelekea pabaya!!
 
heeee! N nin hyooo? vanilla, si hyo hapoo..eee hapoo. Hapo hapoo
 
Last edited by a moderator:
kwel??? Mi nafanya kaz tbs hvyo nadhan unajua jukumu linalonikabili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom