Upo mahala gani unapochangia Topic hii....??!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,861
31,888
Jamani member wa JF,hv unapochangia uzi huu unakuwa ktk mkao na mahala gani?
Me binafsi nipo ndani ya Bajaj naelekea Leaders kucheki Msondo ngoma na Twanga.
Nimekunja 4 wewe je?
Mwaga data zako hapa.
 
mh,me cjui niseme ndan/juu ya bodaboda naenda zangu kuzurura towm make hm kunachosha i.e.w-end km hv! Madame B
 
Last edited by a moderator:
Dah niko zangu Arusha City Park najidunga ndovu na nyama choma....
Yan nikujumlisha na ushindi wa jana...lol
kwa aliyeko hapa ani PM chap
 
Mi nipo kwenye bath tab nyumbani nachezea mapovu. And feeling lonely
NAPSTAR bhana,wachezea nini.....povu!!
Teh teh teh teh...!!
Kama uko lonely karbu mitaa ya huku kuna vi-Lulu kibwenaa.
 
Last edited by a moderator:
Dah niko zangu Arusha City Park najidunga ndovu na nyama choma....
Yan nikujumlisha na ushindi wa jana...lol
kwa aliyeko hapa ani PM chap
erick52 ucntamanishe bana!!
Kilimanjaro baridii..!! Na pembeni kuna tunyama twa ashwa twa mbuzi.
 
Last edited by a moderator:
nipo nyumbani, sebuleni nasubiri wali uive, pia tenesco wamekata umeme najipepea na gazeti.....nimechoka hooooooooiiiiiiiiiii kwa kazi za hapa na pale toka asubuhi, kwa ufupi ndo nakaa chini......

Na gizasco wakirudisha umeme nina lundo la nguo za kupiga pasi..........
 
Mambo BT
 
niko kwenye kachumba flan hvi, nimechuchumaa, juu ya vitofali viwili hivi, na nimekunja uso balaa. Karibu 2we wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom