Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

Nadhani jibu lako liko out of context.:A S-confused1:

Jibu langu haliko out of context as you think! Ni kwamba nani anajua kama ndiyo rais wa nchi ndiye aliyeagiza polisi kuua raia? kama ni ndiyo yeye angefanya nini?
ila kama hakuagiza hapo ndiyo tungejibu swali lake kirahisi kwa kuwa nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya utawala bora unaozingatia sheria kinadharia!
inatakiwa tuthibitishiwe kuwa serikali haihusiki ndiyo tujibu swali!
 
Mbalamwezi Wenye macho waone na wenye masikio wasikie, lakini mtu mwenye busara afanyeje???
 
Last edited by a moderator:
ningeoa wake wengi sababu ninaweza kuwatunza nazaaa watoto wengi ili nijaze dunia ,
istoshe siwezi kuwa rais sababu sipendi siasa
 
Ningefukuzwa polisi wote na kuanza na wengine na wale waliokula rushwa ningetoa amri wapigwe risasi hadharani wote kuanzia Lowassa n.k
 
Nisinge rudi nchini kwa kipindi hiki ninge lazimisha nipangiwe safari za ulaya na kuomba list ya misiba yote ya watu maarufu bara la ulaya na America ili ni udhurie ili kuvunja record ya marais wote duniani! Nadhani ninge rudi hali imetulia.
 
1. ningeanzisha mradi mkubwa wa umwagiliaji utakaowezesha heka laki 3 kupata maji na kulimwa kwa misimu 3 kwa mwaka.
Ningewakopesha wananchi hasa vijana pembejeo na kuwagaia heka 3 kila mmoja ili wazalishe na kurudisha pembejeo nilizowakopesha na waanze kujitegemea.
Kwa kufanya hivyo ningekuwa nimezalisha ajira zaidi ya laki moja.
2. Ningekopa fedha sh trilioni moja nifufue viwanda vyote vilivyokufa na kutafuta wawekezaji wazalendo wa kuviendesha ambapo serekali ingekuwa na hisa asilimia 49.
Kila muwekezaji sharti anunue hisa 51% zilizobaki ndio nimpe kiwanda.
Fedha zitakazopatikana zitajenga viwanda vipya na kuanza kulipa deni.
Hapo mitakuwa mimeongeza vyanzo vya kodi na kutoa ajira zaidi ya elfu kumi.
3. Ningeongeza kodi kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ambazo tunazizalisha na ningefuta misamaha ya kodi isiyo na tija kwa taifa.
4. Ningeimarisha idara ya cag na kumpa nguvu na uwezo zaidi wa kukagua mashika na taasisi zote za serekali hata ambazo tuna hisa 49%.
Pia ningeifumua pccb na kuisuka upya na kuwaondoa vilaza wote akiwemo dr hosea.
5. Ningetenga bajeti maalum kuimarisha sekta ya elimu na afya kwani bado zinachangamoto nyingi licha ya mafanikio zilizopata.

Ninamengi ya kuandika ila ngoja niishie hapa na wengine wachangie.
 
1.ningeipga vbaya mno malawi bila kuulza kama wangesema ziwa nyasa lote n lao,ningehakksha yote inageuka vumbi,alaf ningemchukua rais wao awe mke wangu,kudadadeki..

2.ningehalalsha ushoga,ili watu kama akina nape na nchemba wawe huru(mwenye akil ameelewa),kudadadeki..

3.ningetengeneza katba ambyo ingehakiksha baada ya mwez m1 wa utawala wangu kuisha nchi ichukuliwa na wilbroad,kudadadeki..
 
Ningemnyonga padre Wilbrod Peter Slaa, tena pale Mnazimoja na ningefanya siku hiyo iwe ya mapumziko ili watu washuhudie kitendo hiki kwenye TV wakiwa majumbani kwao.

Dini yako inaruhusu hayo
 
Mbalamwezi Kwanza kabisa ningekuteua wewe uwe Waziri Mkuu ili uyafanye hayo hapo juu.

Kwakua wewe ungekua unadili na hayo hapo juu mimi ningekua nashughulika na kuwaadhibu wale waliotufikisha hapa.

Ningechukua Hansard za bunge ili kuchunguza wale wabunge wa "ndioooooooooooooo". Wale wangekula kifungo tu kwanza, kesi baadae na Ubunge hakuna.

Pili mwaziri wote ningewaita wajieleze hadharani kwanin wasinyongwe (guilty till prove innocent style). Kisha wanachi wangepiga kura nani anyongwe na nani aachiwe.

Hii mahakama yako uliyoitaja ni baadae, immediate action ni kufagia uchafu kwanza.

Hawa wanaojiita Papaa nani sijui wote ndani, mali zao ningezitaifisha tu.

Nikitoka hapo navunja vyama vyote, na kupiga marufuku shughuli za kisiasa, nitatawala kidikteta na hata baada ya 30days sirudishi nchi, maana wataichafua tena.

Baraza langu la utendaji nitaliunda from JF, ila ukiboronga tu jela!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa ningekuteua wewe uwe Waziri Mkuu ili uyafanye hayo hapo juu.

Kwakua wewe ungekua unadili na hayo hapo juu mimi ningekua nashughulika na kuwaadhibu wale waliotufikisha hapa.

Ningechukua Hansard za bunge ili kuchunguza wale wabunge wa "ndioooooooooooooo". Wale wangekula kifungo tu kwanza, kesi baadae na Ubunge hakuna.

Pili mwaziri wote ningewaita wajieleze hadharani kwanin wasinyongwe (guilty till prove innocent style). Kisha wanachi wangepiga kura nani anyongwe na nani aachiwe.

Hii mahakama yako uliyoitaja ni baadae, immediate action ni kufagia uchafu kwanza.

Hawa wanaojiita Papaa nani sijui wote ndani, mali zao ningezitaifisha tu.

Nikitoka hapo navunja vyama vyote, na kupiga marufuku shughuli za kisiasa, nitatawala kidikteta na hata baada ya 30days sirudishi nchi, maana wataichafua tena.

Baraza langu la utendaji nitaliunda from JF, ila ukiboronga tu jela!!

Duu! afadhari wasikupe huo uraisi
 
Jibu langu haliko out of context as you think! Ni kwamba nani anajua kama ndiyo rais wa nchi ndiye aliyeagiza polisi kuua raia? kama ni ndiyo yeye angefanya nini?
ila kama hakuagiza hapo ndiyo tungejibu swali lake kirahisi kwa kuwa nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya utawala bora unaozingatia sheria kinadharia!
inatakiwa tuthibitishiwe kuwa serikali haihusiki ndiyo tujibu swali!

usihamaki, Hii ni jamii forum tu, ni mawazo yetu wote tu yanayotakiwa
 
hawa hawa wenye post za ajabu, ndio wamelitea bun mie! Mie ningepata fursa hiyo, ningenyonga wotee viongozi, alafu ningesema Malawi ipi Tanzania
 
1.ningeipga vbaya mno malawi bila kuulza kama wangesema ziwa nyasa lote n lao,ningehakksha yote inageuka vumbi,alaf ningemchukua rais wao awe mke wangu,kudadadeki..

2.ningehalalsha ushoga,ili watu kama akina nape na nchemba wawe huru(mwenye akil ameelewa),kudadadeki..

3.ningetengeneza katba ambyo ingehakiksha baada ya mwez m1 wa utawala wangu kuisha nchi ichukuliwa na wilbroad,kudadadeki..

ushoga?????????????????
 
Back
Top Bottom