Ungefanya nini ukiwa Rais wa Tanzania kwa mwezi mmoja?

Ningenyoga mafisadi na wauza 'unga' WAKUU, Ningerudisha majengo yote ya CCM serikalini.

Ningefukuza mawaziri wote isipokuwa Mwakyembe na Magufuli, Ningefuta nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na kubuni utawala mwingine.

Ningefuta jeshi la polisi na kuliunda upya, ningenyonga wote wanaoeneza chuki za kidini na ningeanza na Ponda.

Ningewapeleka Kingwangwala, Tumbotumbo Komba, Juma Mkamia, Lusinde na Mwingulu MIREMBE.
 
Back
Top Bottom