Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari

Dah dingi mbona fasta sna..yaan kitendo cha kusindikiza tu ..tayar keshajitindua kwa beki tatu na kulamba mzigo..kibaya zaidi waweza kuta nawe huwa unajinafasi kwa beki tatu..muhim ni kufanya kila liwezekanalo na kumtimua beki tatu coz mwisho wa siku litaibuka bonge la tifu ndan ya familia..
 
unachuna ili kujenga ndoa ya baba na mama kwa sababu uangalie pia ukisema nini kitatokea kwenye familia
 
teh yan iyo ndo na2mia kama tiket ya kuwa napat mahela kwa mding kila mara nitakapo . Na2mi kam kitishio teh!!!
 
Lamsingi nikuwaacha wamalize then unamfata mzee kwa busara "baba ulichofanya co vema kabisa, mama ndio mwenzi wako hv unamzalilisha mumy, kwa mama ctokusemea ukiacha." then umckilzie kama game would be over or not. Kama kichwa nazi namtimua H'G on dat day. Namheshm sana my mumy, nampenda pia.
 
suppose unajikuta wewe ni mtoto wa kike na ndiye unaetakiwa kumwambia baba!utaweza?baada ya kumkuta akichapa mzigo!
Lamsingi nikuwaacha wamalize then unamfata mzee kwa busara "baba ulichofanya co vema kabisa, mama ndio mwenzi wako hv unamzalilisha mumy, kwa mama ctokusemea ukiacha." then umckilzie kama game would be over or not. Kama kichwa nazi namtimua H'G on dat day. Namheshm sana my mumy, nampenda pia.
 
Ingekuwa mimi wote wanaondoka muda huo huo na hakuna majadiliano. Isitoshe wadogo zangu watakuwepo au hata ndugu wengine wa karibu watakuwepo jirani aende akajifanye anawasalimia ila kwangu asikanyage hata siku moja mpaka hasira zangu ziishe.

Inauma sana pale ambapo mzazi wako anafanya unyama wa aina hiyo nyumbani kwako huku anajua uliyemsindikiza ni mama yako mzazi.

Mama mzazi sitamwambia. Wakati mwingine mzazi unashangaa kwa nini mtoto anakuwa hana adabu kwa mzazi mmojawapo ila ukichunguza utakuta ameshuhudia mzazi huyo akifanya ujinga kama huu. Msiombee jamani msiombee.
 
Halafu kitu kingine watu wasivyojielewa. Hawa wasichana ni binadamu, una uhakika gani unajipanga kwenye foleni ya kifo? Wengi wanajidanganya kuwa bado hawajatembea na wengi basi atakuwa msafi.

Shemeji yangu alitembea na msichana wa kazi wa jiarani yangu ila sasa baada ya mwaka binti alifukuzwa kazi baada ya kugunduliwa anatembea na mwenye nyumba ila alipoondoka akamwambia huyo mmama kuwa anajipa moyo maana amelala na baba na mtoto wao wa kiume kwa zaidi ya miaka miwili. Shemeji yangu amefariki kwa ungojwa huu wa kisasa haya niambie hali ikoje? Maana alifariki mwaka mmoja baada ya tukio. Kweli kuna kupona? Baba, mama, mtoto wote??? Halafu mtu unachekea mzazi wako kulala na binti wa kazi eti uanze kumwita mama mdogo??
 
Watu wengi wanachukulia mada hii 'common'. Nilazima baba yangu atajutia alichokifanya, nitamjutisha, nitamkera! Hasa kwa kumwambia ukweli hata kama mm ningekuwa wakike ctomwogopa mzinzi kamwe. Lazima atage. Mama ctomwambia atapata pressure bure mamangu. H'g sikuhiyo hiyo nampa chake, nauli namcndikiza stand kijijini kwao. Kama umesoma comment ya Bi Mkubwa utaelewa nasema nini.
 
utamfukuza mzee pamoja na housegirl lakini jua mzee ndie anaetoa pesa za matumizi kwa hapo home!
Ingekuwa mimi wote wanaondoka muda huo huo na hakuna majadiliano. Isitoshe wadogo zangu watakuwepo au hata ndugu wengine wa karibu watakuwepo jirani aende akajifanye anawasalimia ila kwangu asikanyage hata siku moja mpaka hasira zangu ziishe.

Inauma sana pale ambapo mzazi wako anafanya unyama wa aina hiyo nyumbani kwako huku anajua uliyemsindikiza ni mama yako mzazi.

Mama mzazi sitamwambia. Wakati mwingine mzazi unashangaa kwa nini mtoto anakuwa hana adabu kwa mzazi mmojawapo ila ukichunguza utakuta ameshuhudia mzazi huyo akifanya ujinga kama huu. Msiombee jamani msiombee.
 
ok sasa mama akirudi akakuuliza kwanini umemtimua haousegirl utamjibu nini?
Watu wengi wanachukulia mada hii 'common'. Nilazima baba yangu atajutia alichokifanya, nitamjutisha, nitamkera! Hasa kwa kumwambia ukweli hata kama mm ningekuwa wakike ctomwogopa mzinzi kamwe. Lazima atage. Mama ctomwambia atapata pressure bure mamangu. H'g sikuhiyo hiyo nampa chake, nauli namcndikiza stand kijijini kwao. Kama umesoma comment ya Bi Mkubwa utaelewa nasema nini.
 
aisee very sorry for this umenikumbusha imewahi kutokea arusha mama mmoja nesi alipimwa yeye na mumewe wakaonekana negative ila housegirl na watoto wao wapo positive HIV shangaa hawa watoto ni wanasoma primary embu angalia hapo wameupataje!
Halafu kitu kingine watu wasivyojielewa. Hawa wasichana ni binadamu, una uhakika gani unajipanga kwenye foleni ya kifo? Wengi wanajidanganya kuwa bado hawajatembea na wengi basi atakuwa msafi.

Shemeji yangu alitembea na msichana wa kazi wa jiarani yangu ila sasa baada ya mwaka binti alifukuzwa kazi baada ya kugunduliwa anatembea na mwenye nyumba ila alipoondoka akamwambia huyo mmama kuwa anajipa moyo maana amelala na baba na mtoto wao wa kiume kwa zaidi ya miaka miwili. Shemeji yangu amefariki kwa ungojwa huu wa kisasa haya niambie hali ikoje? Maana alifariki mwaka mmoja baada ya tukio. Kweli kuna kupona? Baba, mama, mtoto wote??? Halafu mtu unachekea mzazi wako kulala na binti wa kazi eti uanze kumwita mama mdogo??
 
Baada ya kumfukuza najua Mumy ni mwelewa sana! Hasj ktk mambo ya mah'g, ntampigid sim huko kabla hajarudi ntamwambia h'g nimemkuta na chali ndani wakifanya tabia chafu.. Nitamchongea atimuliwe. Mama akikataa nae atakuwa zuzu. Ila hakatai.najua. Dingi yeye hauliz h'g yuko wapi, akiuliza jbu ni cjui!
 
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda
likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako
anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie
utafanya nini hapoooo.......

We dogo mambo ya Dingi yanakuhusu nini? Na kisa cha kuzama chumbani bila hodi ni utovu wa nidhamu!
 
Unajifanya kama hukuona unaenda zako kucheza kitenesi mpaka muda wa kula au jioniii
 
Kwa baba na Hg kama wanataka nizibe mdomo, tukubaliane asilimia 20 ya mishahara yao.
 
Back
Top Bottom