Unamkumbuka huyu?

FIDE
lete maana ya kumweka JF huyu dada maana najaribu kujumlisha namba zinakataa

Hebu tuifanye hii kidogo; (nani hii +nanihii)-nahii=naokota kidude
(naokota kidude +nanihii)*nanillilo=nanihii/majaji miss VODACOM

Mzee Nyani N sema hesabu hizo ziko sawa? Au kama unatafuta "squareroot" sema pia.
 
Muwe makini mnapoziacha computer zenu mbovu kwa mafundi. Ikipona atachukua data nyeti na kuzihifadhi, atakukabidhi computer yako, halafu siku nyingine anakuja kuziweka data zako hadharani. Pole sana Nsia.
 
Kumbe ze nanii imetoa celebrity wengi!!!

Dah! Nsia Swai jaji Miss Arusha!!!? Halafu kuna madau wa karibu sana alikuwa mmoja wa waandaji wa hiyo Miss Arusha City Centre. Ngoja nicheki kama namba yake ya simu bado ninayo!
 
Dah! Nsia Swai jaji Miss Arusha!!!? Halafu kuna madau wa karibu sana alikuwa mmoja wa waandaji wa hiyo Miss Arusha City Centre. Ngoja nicheki kama namba yake ya simu bado ninayo!

Ukiipata waweza mrushia Nyani Ngabu.....Kuna project anataka kumshirikisha Nsia Swai...............Pliiiiiiiiiiiiiiiiiz Masaki...Do the needfull
 
Ukiipata waweza mrushia Nyani Ngabu.....Kuna project anataka kumshirikisha Nsia Swai...............Pliiiiiiiiiiiiiiiiiz Masaki...Do the needfull

Thank you my brother from another mother. Thank you for looking out for me. I need her number badly.

Sikonge: kama unasoma hii naomba niwekee tena ile picha uliyoweka siku ile....
 
Inaelekea kazi za ujaji anazimweza sana
1.JPG
Msanii kutoka nchini Kenya, Jackson Makini Ngechu a.k.a Prezoo ambaye ni mmoja ya majaji wa Vodacom Miss Arusha City Center akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliyofanyika katika hoteli ya Naura Springs jijini Arusha. Shindano la Vodacom Miss Arusha City Center limeandaliwa na Kampuni ya Sophy Entertainment ya jijini Arusha na inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa hoteli hii, kesho ijumaa kuanzia saa moja usiku na kumalizika saa sita usiku. Kutoka kulia ni Nsia Swai ambaye atakuwa ni jaji, Henry Tzamburakis ambaye ni meneja wa Vodacom Kanda ya kaskazini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sophy Entertainment, Sophia Urio na Beatrice Dallaris ambaye ni meneja wa hoteli ya Naura Springs.
 
QUOTE=Nyani Ngabu;911078]Thank you my brother from another mother. Thank you for looking out for me. I need her number badly.

Sikonge: kama unasoma hii naomba niwekee tena ile picha uliyoweka siku ile....[/QUOTE]

Mkuu majuzi kati nilipata bahati ya kukutana nae pale Mwanza Airport mtoto mkali kinoma bahati mbaya sikuweza pata fursa ya kuomba namba maana alikuwa na bonge la Pedejee nikaambulia kumpiga picha walau kwa nyuma

image012.JPG [
 
Full kuchange pamba hii ilikuwa kwenye tukio moja

Mtoto analipa sana,
Ila siku hizi amepungua sana nahisi ni kwa ajili ya huo ulaji wa Vodacom.
Mapedejee wa A town vp hii ngoma wameilazia damu?
 
Hahahaha hivi vitu Nguli huwa anakula kwa macho tu huku akiacha mate yakichuluzika.

ha ha ha ha tena yuko hapa nimemwonyesha picha anajidai hajaiona anaipotezea ila chuda amesimama mtoto ana mgongo balaa. Wapi siku hizi? twende savana leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom