IGP Mstaafu Omary Mahita achechemea hapa msibani kwa Mwinyi

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Mnamkumbuka IGP mstaafu Omary Mahita enzi akiwa madarakani miaka ile? Mzee wa ngunguri!

Alikuwa mwamba kwelikweli, IGP aliyekuwa na mamlaka haswaa, IGP mbabe na mwenye hulka ya aina yake.

Namuona anachechemea huku anatembea na mkongojo, ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
 
Unapozaliwa hadi unazeeka kumbuka Kuna viungo vya mwili havijawahi kupumzika miaka yote mfano moyo,figo,ini, n.k, inafika mahala mwili pamoja na viungo vinachoka,so hiyo ni hali ya kawaida, tofauti ni vijijini ambavyo vizee vina miaka 80-90 lakini vipo poa vinaendesha baiskeli na kutembea bila shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom