Unamkumbuka huyu?

Na waliomualika walikuwa na ajenda naye ya siri. lkn mtoto kaumbika ingawa sura amekosa hahahahahaha zile picha zake wakati wa Ze utamu jana tu hapa kwa ofisi watu walikuwa wanatumiana hahahahahahaha

Mkuu naomba picha zake kwenye PM
 
Fani ya urembo aliianza long time angalia pozi lake hapa

%C3%A5%E2%80%BA%C2%BE%C3%A7%E2%80%B0%E2%80%A11.jpg

Jamani kila mtu mungu amemwandikia jinsi ya kufaulu maisha
 
Nsia Swai alikuwa na Dada Flani Hivi Chocolate Color kama Odemba Picha zake Zilikiki Sana Miaka ya Ze Utamu 2008.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom