Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Nov 24, 2018
363
632
Wakuu heshima itawala..

Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.

Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza (Sio kwa mnada)..

Kwenye kijiwe changu nataka nianze na skin jeans, blauzi na shart za kiume.
 
Unataka kuuzia wapi?
 
Maduka ya mitumba dsm yako mengi mnazi Moja kule mtaa unaitwa Sofia kawawa. Ila hata Narungombe pia ipo, mgoduniby wahindi. Hata pale Tazara karibubna ofis ya tbc ipoo. Kampuni kubwa sana inaitwa Bazaar.
Call 06287318 tatu-tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom