kumbe tupo wengi,hata mimi najijua mwenyewe tu!halafu nadhani wewe ni wa kwetu,brazilia!fabinyo/husninyo,lol
duh,majibu yako huwa nayapenda sana,kama mtu wa hasira unaweza pasuka,hahahaaa!!poa poa king'asti wetu,usijali sintokufahamu!asante
Unatengeneza picha tu, mi nilishangaa baba mkwe nae member humu aliniuliza kama naifahamu JF nikamwambia wala
mie namfaham rejao na malaria sugu peke yao'kwa bahati mbaya sana wao hawanifaham
Tupo tunaofahamiana lakini wengine maandishi ya kuonyesha kufahamiana ni zuga tuNimekuwa nasoma threads mbalimbali za members hapa jf,jinsi watu tunavyojadili huwa naona kuna wengine wanafahamiana physically!hii imenisukuma kuuliza hilo,mimi binafsi simfahamu yeyote hata kama tukikutana kwa sababu wengi humu tunatumia majina fekiiiiii!nakufahamu wewe tu hapa mtandaoni,je wewe unamfahamu nani na nani?
mi nakusubiria tu ukate shauri.siku hiyo uje na mdogo wako Bebii.I believe with time lazima itatokea ufahamu watu, lakini interaction kati ya members tu hujenga kutaka kuonana... Sio kwa kulazimisha mazoea, haya mambo huenda ka vile river inavofuata mkondo wake.... Mnazoeana then with time inakuja interest ya kutaka kujua mhusika wapi anaishi, ama wapi anapatikana. Hata hivo IMO wengi ambao wana interract hapa jamvini ni wachache ambao mtu anakua ameonana nao.... Kwa upande wangu sasa hivi nina marafiki wengi saana hapa Jamvini BUT sijawahi onana hata na mmoja, ila inshallah God willing huko mbele naamini it will be possible....
ukisikia kamba hizo ndo kamba,na TF?simfahamu yoyote zaidi ya husninyo.
mimi niliambiwa Cantalisia ni binti yako....
kama humfahamu zitto,slaa,kitila mkumbo na nape utakuwa una matatizo!!!
ukisikia kamba hizo ndo kamba,na TF?