unamfahamu yeyote ambaye ni jf member?

Status
Not open for further replies.

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,109
Nimekuwa nasoma threads mbalimbali za members hapa jf,jinsi watu tunavyojadili huwa naona kuna wengine wanafahamiana physically!hii imenisukuma kuuliza hilo,mimi binafsi simfahamu yeyote hata kama tukikutana kwa sababu wengi humu tunatumia majina fekiiiiii!nakufahamu wewe tu hapa mtandaoni,je wewe unamfahamu nani na nani?
 
Mie nakufahamu ww tu. Na natamani usinifahamu kabisa.
duh,majibu yako huwa nayapenda sana,kama mtu wa hasira unaweza pasuka,hahahaaa!!poa poa king'asti wetu,usijali sintokufahamu!asante
 
I believe with time lazima itatokea ufahamu watu, lakini interaction kati ya members tu hujenga kutaka kuonana... Sio kwa kulazimisha mazoea, haya mambo huenda ka vile river inavofuata mkondo wake.... Mnazoeana then with time inakuja interest ya kutaka kujua mhusika wapi anaishi, ama wapi anapatikana. Hata hivo IMO wengi ambao wana interract hapa jamvini ni wachache ambao mtu anakua ameonana nao.... Kwa upande wangu sasa hivi nina marafiki wengi saana hapa Jamvini BUT sijawahi onana hata na mmoja, ila inshallah God willing huko mbele naamini it will be possible....
 
Ambao huwa wapo majukwaani kila siku nawafahamu ila si kuonana but majina yao halisi na picha zao,ila hawanifamu...wanaonifahamu wapo kama watatu.nitakufundisha mbinu za kuwafamu.
 
mie simfahamu hata mmoja, lakini naamini ipo siku nitafahamiana na wawili watatu..........lol
 
Mi nna mama na kaka yangu wote tuko humu..kuna siku nilikua na argue na mtu kwenye thread..sasa nafika nyumbani wakati wa msosi mama akaanza leo kuna mtu kaniudhi sana nimrsema ivi kaandika hivi hee nikamuuliza maandishi yake yana rangi gani akajibu mekundu..nikachekaaa sana
 
Nimekuwa nasoma threads mbalimbali za members hapa jf,jinsi watu tunavyojadili huwa naona kuna wengine wanafahamiana physically!hii imenisukuma kuuliza hilo,mimi binafsi simfahamu yeyote hata kama tukikutana kwa sababu wengi humu tunatumia majina fekiiiiii!nakufahamu wewe tu hapa mtandaoni,je wewe unamfahamu nani na nani?

Unatengeneza picha tu, mi nilishangaa baba mkwe nae member humu aliniuliza kama naifahamu JF nikamwambia wala
 
I believe with time lazima itatokea ufahamu watu, lakini interaction kati ya members tu hujenga kutaka kuonana... Sio kwa kulazimisha mazoea, haya mambo huenda ka vile river inavofuata mkondo wake.... Mnazoeana then with time inakuja interest ya kutaka kujua mhusika wapi anaishi, ama wapi anapatikana. Hata hivo IMO wengi ambao wana interract hapa jamvini ni wachache ambao mtu anakua ameonana nao.... Kwa upande wangu sasa hivi nina marafiki wengi saana hapa Jamvini BUT sijawahi onana hata na mmoja, ila inshallah God willing huko mbele naamini it will be possible....
umenena vema sana,hata mimi huko mbele naamini nitawafahamu tu!me nilipenda hilo zaidi hasa pale Cantalisia alivyoleta habari za ajali ya Mtambuzi,bila shaka wanafahamiana
 
Mi nna mama na kaka yangu wote tuko humu..kuna siku nilikua na argue na mtu kwenye thread..sasa nafika nyumbani wakati wa msosi mama akaanza leo kuna mtu kaniudhi sana nimrsema ivi kaandika hivi hee nikamuuliza maandishi yake yana rangi gani akajibu mekundu..nikachekaaa sana
hahahahaa,hata me nimecheka sana
 
Ambao huwa wapo majukwaani kila siku nawafahamu ila si kuonana but majina yao halisi na picha zao,ila hawanifamu...wanaonifahamu wapo kama watatu.nitakufundisha mbinu za kuwafamu.
nangojea mbinu mdau,itanisaidia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom