Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 1,890
- 4,057
Kwanini mimi nimekuwa mtu wa kufanyia watu wema ila mimi sijawahi kufanyiwa wema hadi sasa, richa ya kuwa sijawahi kuwa na kazi ya maana lakini hadi sasa nimesaidia watu wanafika watano kuwapa connection sehemu mbalimbali za kazi hasa nilipokuwa nafanya kazi watatu rafiki zangu ninao wajua na wawili ni watu tu kitoka mtandaoni hapa JamiiForums nimeona wakilalama wanatafuta kazi yoyote nikawap connection na kupata kazi.
Hawa woote hakuna aliyeniomba kwamba nipe connection bali nimewapa connection bila kuombwa, mimi ikitokea sehemu napofanya kazi kukahitajika mfanyakazi basi cha kwanza niaangalia majina kwenye Phone Book yangu au nitaangalia Jukwaa la Ajira JF nani muhitaji hasa.
Mpaka sasa richa ya kuwa na moyo huu nature hainilipi malipo nayostahiri kabisa hakuna rafiki yangu yeyote aliyewai siku nipigie tu kuniambia kuna connection hii wala mtu wa online tu aliyewai nipa connection sehemu kama navyofanya connection napambana mwenyewe fro scratch, nature hainilipi kuwa na moyo woote wakuinua wenzangu kwenye riziki bado Karma inifanyie wepesi kuinua wenzangu nami niinuke japo kwenye kazi nazofanya ila wapi, hakuna malipo in both way.
Au ndio malipo siku ya mwisho